Yapi matumizi sahihi ya p2?

Mhusika ni dada au ww
 
Cha kwanza tu kilishamsaidia tayari...yaan wala asijitie hofu.Ila kama ana mawazo ya kuzaa mbeleni ...P2 at least Mara 2 kwa mwaka.Mara kwa Mara zaunguza mayai utakapotaka mtoto utashika wachawi kumbe mwanga mwenyewe
Kuna wadada nawaambiaga hii hawanielewagi! P2 atleast imyweke mara2 kwa mwaka ndio mana ni Emergency contraceptive pills
Watu hawataki kufata kalenda wanabwia tu P2 na vile ni 5k mtu hata kama kableed jana Kafanya leo anakunywa.
 
Ni hatari sana.Inaunguza mayai
 
Hizo roho mnazo ziondoa zitakuja kudai Haki Haki Haki
Ni swala la Wakati Na Muda
Nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf mna Mambo kwakweli [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…