Yapi matumizi sahihi ya p2?

Yapi matumizi sahihi ya p2?

Habari doctor's wa jf,naomba kuuliza Jana saa tisa mchana dada ametumia dawa ya p2 akaambiwa baada ya masaa kumi na mbili atumie kingine maana aliambiwa ameze kimoja kimoja, kwahiyo alipomeza kimoja hiyo Jana mchana saa tisa ilitakuwa ameze kingine saa tisa ucku,Sasa kajikuta kachelewa kashtuka saa kumi na mbili alfajiri ndio kameza cha pili jeeee kunatatizo lolote hapo??? Au dawa haitafanya kazi inavyotakiwa??? Naomba msaada wapendwa wa jf
Mhusika ni dada au ww
 
Cha kwanza tu kilishamsaidia tayari...yaan wala asijitie hofu.Ila kama ana mawazo ya kuzaa mbeleni ...P2 at least Mara 2 kwa mwaka.Mara kwa Mara zaunguza mayai utakapotaka mtoto utashika wachawi kumbe mwanga mwenyewe
Kuna wadada nawaambiaga hii hawanielewagi! P2 atleast imyweke mara2 kwa mwaka ndio mana ni Emergency contraceptive pills
Watu hawataki kufata kalenda wanabwia tu P2 na vile ni 5k mtu hata kama kableed jana Kafanya leo anakunywa.
 
Ni hatari sana.Inaunguza mayai
 
Hizo roho mnazo ziondoa zitakuja kudai Haki Haki Haki
Ni swala la Wakati Na Muda
Nimejikuta nacheka kwa sauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf mna Mambo kwakweli [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom