Jadit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2019
- 273
- 212
Habari doctor's wa jf,naomba kuuliza Jana saa tisa mchana dada ametumia dawa ya p2 akaambiwa baada ya masaa kumi na mbili atumie kingine maana aliambiwa ameze kimoja kimoja.
kwahiyo alipomeza kimoja hiyo Jana mchana saa tisa ilitakuwa ameze kingine saa tisa ucku,Sasa kajikuta kachelewa kashtuka saa kumi na mbili alfajiri ndio kameza cha pili jeeee kunatatizo lolote hapo?
Au dawa haitafanya kazi inavyotakiwa??? Naomba msaada wapendwa wa jf