Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Ndomana weng humu tunatumia id fake..na jf ni sehmu ambayo unaweza ukapunguza stress..sasa ww ulitaka kwenye jukwaa hili la mapenz na mahusiano kuwe na mada gan kama sio hz....shame on uu...usirudie tena huu upuuzi[emoji35] [emoji35]
Kwa hiyo wewe unadhan kwa kuleta post hii huyo dem ataacha hiyo tabia?
 
TANGAZO.

Natafuta mwanamke wa kuvaa tisheti zangu vitokee vinukta vya chuchu.

Sasa sijui msela anavaa bati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
SASA ulitaka asipige nazo picha au asivae..ulitaka naye atambe wapi sasa wakataai yuko kwako..wanaume wa mkoani mna shida sana..kazi kulalamika vitu vidogo vya maamuzi tu.
 
Kama una mautoto ndani mwako. Mwanaume halisi huwezi kulalamikia ishu za kuvaliwa nguo
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Mkuu demu wako anachuchu za chuma na makalio ya mbao nini
 
mtoa mada na we njo ghetto uniharibie nguo maana nawapenda sana wanaume wenye element za kike
 
Hahahhahahaha pole mkuu.
Ndiyo shida ya kudate mwanamke jobless.
Mwanamke mwenye kazi anakuja ijumaa j2 yupo kwenye gari anarudi.
Fanya kumtumia vitu vyake kwenye bus.
😀😀😀😀
 
Eee madam b unavaaje boxer ya mwanaume
Au yale mambo yetu ni madogo sio mapana sana
Mambo mapana sana.
Zamu yake ikifika si huwa anaivaa ndani ya suruali kisha anafunga na mkanda, mtu hajui kinachoendelea
 
Back
Top Bottom