Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Dah mkuu kwa hiyo sasa hivi una matako makubwa
 
kwani hiyo dushelele yako hajairefusha iwe sawa na msambwanda wake,alioutumia kuharibu suruali zako?
 
Nyie ndio mnasababisha wanawake wanaona wanaume hakuna siku hizi sababu ya utoto......sasa wewe ulitaka mtoto wa watu umgegede tu bila kuwajibika na gharama zake...
 
Unaonekana upo very selfish polee. Ungemwambia masivae nguo zako sio kuja kumtangaza huku JF.
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
hapo kwenye ebay tuongee ka hutojal
 
Simkatazi mtu kuvaa. Issue ni kwann aharibu?? Kama anaona mwili wangu na wake tofauti kwann alazinlmishe???
Unaonekana upo very selfish polee. Ungemwambia masivae nguo zako sio kuja kumtangaza huku JF.
 
Ahahahaha
Nyie ndio mnasababisha wanawake wanaona wanaume hakuna siku hizi sababu ya utoto......sasa wewe ulitaka mtoto wa watu umgegede tu bila kuwajibika na gharama zake...
Boss nimewajibika kwa kadir ya uwezo wangu. Have spent a lot of cost for her
 
Ww c ulijiona FAZA Hzo na gharama zake za MAFAZA WOTEE[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una roho mbaya toka hapa.Mpigie simu mwambie sasa ukituambia sisi hayo mashati yatarudi kwenye uhalisia.
 
Kimsingi uchoyo n tabia mbaya halafu mwanaume ukiwa na tabia hii sisi wengine inabidi tukushangae tu maana yawezekana kabisa unajua kwamba huyo dem wako hatumii jamiiforum lakini umeshindwa kumwambia unakuja kutuambia sisi je is we her? , are she? , is she us? , or we are she?
Ndomana weng humu tunatumia id fake..na jf ni sehmu ambayo unaweza ukapunguza stress..sasa ww ulitaka kwenye jukwaa hili la mapenz na mahusiano kuwe na mada gan kama sio hz....shame on uu...usirudie tena huu upuuzi[emoji35] [emoji35]
 
Una roho mbaya toka hapa.Mpigie simu mwambie sasa ukituambia sisi hayo mashati yatarudi kwenye uhalisia.
Hv sasa jaman kama huna cha kumshauri c ukae kimya hv wabongo mna nn jaman coz hili ni jukwaa na mapenz na mahusiano sasa ww unataka watu waweke nyuzi za aina gan kama sio hz???
 
Back
Top Bottom