Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,690
- 20,451
Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga
- Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na ulinzi wa uwanja? Nani anahusika na COVID tests? - Nani anahusika na kuruhusu mashabiki uwanjani? Nani anahusika na stewards uwanjani?
- Ukiangalia kwa jicho la pili utagundua Yanga haihusiki na masuala yote yaliyotajwa. Pia ukisikia Yanga anatumia uwanja wa Taifa kama uwanja wa nyumbani, ni vyema ujue eneo pekee ambalo anapewa kuli control kwa 100% ni chumba cha kubadilishia nguo kwa wachezaji tu.
- Maeneo yote yaliyobaki kuanzia getini, parking, mzunguko, VIP A,B & C pamoja na VVIP Yanga haina access wala control bila ruhusa maalumu ya Shirikisho/ Bodi ya Ligi, ni mpaka uwe na Access au Accreditation.
-Yaani kwa ufupi ata kama Kiongozi wa Yanga ana mgeni wake lazima aombe ruhusa au kibali kutoka bodi ya ligi ndio aruhusiwe kumuingiza kwenye mechi zake za nyumbani, ukiachana na hilo ni kukaa na kusubiria mgawanyo wa mapato yatokanayo na mechi tu kwa mujibu wa kanuni za mechi husika
- Hivyo ni vyema kabla haujailaumu Yanga, zingatia niliyoyaandika hapo juu alafu jenga hoja zako za msingi weka ushabiki pembeni.