OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Wachezaji wote wa Black stars wanacheza nje sasa tujulishe timu walizotoka huko ulayaYanga timu pekee yenye kufanya mambo yake kwa weledi mkubwa na akili nyingi imefanya kufuru kwa kusajiri wachezaji watatu wa kimataifa kutoka nchi Ghana.
Wachezaji nao ni wachezaji tegemewa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa.
Habr za uhakika zinasema mmoja ya wachezaji hao ni beki kisiki asiyepitika wakati mmoja ni mfungaji wakutumainiwa na aliyesalia ni kiungo mkabaji wa uhakika.
Kila kitu kitawekwa wazi baada muda mfupi.
Yanga mbele daima nyuma kwetu mwiko.