Yanga yanasa vifaaa vitatu toka Ghana

Yanga timu pekee yenye kufanya mambo yake kwa weledi mkubwa na akili nyingi imefanya kufuru kwa kusajiri wachezaji watatu wa kimataifa kutoka nchi Ghana.

Wachezaji nao ni wachezaji tegemewa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa.

Habr za uhakika zinasema mmoja ya wachezaji hao ni beki kisiki asiyepitika wakati mmoja ni mfungaji wakutumainiwa na aliyesalia ni kiungo mkabaji wa uhakika.

Kila kitu kitawekwa wazi baada muda mfupi.

Yanga mbele daima nyuma kwetu mwiko.
Wataje majina acha porojo!
 
Mara nyingine mzazi anawaambia watoto wachochee moto kwamba anapika njugumawe kumbe ni mawe!!! Hii husaidia ku-buy time wakati wa njaa! Unawekuta mtu amelala njaa halafu anaota yupo kwenye sherehe akula wali!!
 
Kama akina Manara walivyowafanyia Mikia kwenye inshu ya point kutoka FIFA.

Sometimes mnakuwaga na akili mikia ila sijui mnawekewaga limbwata gani na akina Aveva.

Yule terrorizer wa yanga??

Weka clip tuone.
 
Kama akina Manara walivyowafanyia Mikia kwenye inshu ya point kutoka FIFA.

Sometimes mnakuwaga na akili mikia ila sijui mnawekewaga limbwata gani na akina Aveva.Weka clip tuone.
Okwi ANARUDI kabla TANO HAZIJARUDI
 
Yanga timu pekee yenye kufanya mambo yake kwa weledi mkubwa na akili nyingi imefanya kufuru kwa kusajiri wachezaji watatu wa kimataifa kutoka nchi Ghana.

Wachezaji nao ni wachezaji tegemewa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa.

Habr za uhakika zinasema mmoja ya wachezaji hao ni beki kisiki asiyepitika wakati mmoja ni mfungaji wakutumainiwa na aliyesalia ni kiungo mkabaji wa uhakika.

Kila kitu kitawekwa wazi baada muda mfupi.

Yanga mbele daima nyuma kwetu mwiko.
Leeaah TU mamaa
 
Hizi kelele zote ni kujifariji na talaka ya Niyonzima!! Yaani msiba wa kuondokewa na Niyonzima ni mkubwa kuliko wa Ally Yanga?! Akiwanunia humo kaburini, mtamtambua!!
 
Back
Top Bottom