Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,374
- 29,617
Simba kama mshidi wa mechi kapewa 100-M, 1.ya mtani jembe,...,furaha ya washabiki...........pia Simba haikuhitaji kuhangaika kuokta vizibo baa kama abayo Yanga walifanya,bali tulihitaji Kuwachapa kwa sababu nia,sababu na uwezo tunao matokeo yake ni kwamba mashabik zaidi ya wane wa Yanga walizirai........Yanga wote hawana furaha........Yanga wnatafuta mchawi............Huku Simba taratiiibu tuna kula sikukuu za mwisho wa mwaka bonge la tabasamu...............Hiii ndio Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Post yako imenikosha ike laaana......Simba ni raha tupu..