Lakini tuache blah blah mimi mshabiki wa Simba lakini sioni sababu kwa kikosi cha yanga kufungwa na timu yoyote hapa Tanzania
Una
Kaseja, Mbuyu,yodan, canavaro,msuva, ngasa, okwi, kavumbagu,kiiza,chuji, dilunga yaani hapana kocha bomu...
Simba kama mshidi wa mechi kapewa 100-M, 1.ya mtani jembe,...,furaha ya washabiki...........pia Simba haikuhitaji kuhangaika kuokta vizibo baa kama abayo Yanga walifanya,bali tulihitaji Kuwachapa kwa sababu nia,sababu na uwezo tunao matokeo yake ni kwamba mashabik zaidi ya wane wa Yanga walizirai........Yanga wote hawana furaha........Yanga wnatafuta mchawi............Huku Simba taratiiibu tuna kula sikukuu za mwisho wa mwaka bonge la tabasamu...............Hiii ndio Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Kama ni kweli wamemtimua bure kwa sababu Yanga ndiyo iliyonufaika zaidi ya Simba katika mechi hiyo ya nani mtani jembe, Yanga imenufaika kwa sababu zifuatazo
1. Imeweka kibindoni shs million 99 wakati wao Simba wakiambulia million 1 tu na kombe le bati
2. Makosa ya kiufundi yameonekena ambapo kocha angeyafanyia kazi kabla ya mechi ya kugombania point tatu mhimu
3. Kulingana mna matokeo ya mechi hiyo mechi ijayo piga uwa garagaza lazima Simba itafungwa tu.
Wamwache kocha huyo afanye kazi yake.
Lakini tuache blah blah mimi mshabiki wa Simba lakini sioni sababu kwa kikosi cha yanga kufungwa na timu yoyote hapa Tanzania
Una
Kaseja, Mbuyu,yodan, canavaro,msuva, ngasa, okwi, kavumbagu,kiiza,chuji, dilunga yaani hapana kocha bomu...
Kibadeni Alipata Droo Akatimuliwa....!!Hizi timu hovyo kweli yaani wewe ukifungwa na yanga ama SIMBA huna kazi...
Basi aletwe kocha mwenye kiwango cha juu sana hasa makocha wa kijerumani hawanaga masikhara lazima wachezaji wajitume 100%.
Taarifa zingine bana, si bora wangetaja sababu moja tu kwamba ni kwa sababu wamefungwa na Simba, haiwezekani useme timu ilikuwa inashinda kwa taabu wakati mechi za mwisho mwisho ilikuwa ni ushindi wa tatu bila na kuna moja Yanga ilishinda nne bila sasa unaposema timu ilikuwa inashinda kwa taabu yaani ushindi wa tatu bila ni ushindi wa taabu, kwa kweli makocha kufukuzwa ni kawaida kwao.Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu.
Maamuzi hayo yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni mwa wiki.
Hatua ya Young Africans SC kusitisha huduma na Brandts isichukuliwe kama chuki bali ni moja ya sehemu ya kuhakikisha tunaboresha benchi la ufundi ili tuweze kupata matokeo mazuri katika Mashindano yanayotukabili.
Ukitazama uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa Yanga SC na wapinzani wetu, na soka tulilocheza kwenye mchezo wa mwishoni mwa wiki kwa kweli ni dhahiri mwalimu amefikia mwisho kimbinu na hana njia mbadala.
Young Africans SC imekua ikicheza chini ya kiwango katika michezo ya Ligi Kuu hali iliyoplekea kupata ushindi kwa tabu na wakati mwingine timu kupoteza pointi.
Kufuatia kupewa taarifa ya siku 30, Brandts ataamua mwenyewe kama ataendelea kusimamia mazoezi ya timu au kuondoka moja kwa moja kabla ya muda huo ukiwa haujakamilika.
Ikiwa Brandts ataondoka mapema timu itaendelea na mazoezi kama kawaida katika kila siku asubuhi katika uwanja wa bora kijitonyama kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na mashindano ya kimataifa chini ya kocha msaidizi Fred Felix Minziro.
Ili kuhakikisha timu inafanya vizuri katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na mashindano ya kimataifa uongozi unakamilisha maandalizi ya safari ya kambi nje ya nchi na taratibu zote zitakapokamilika tutawajulisha.
Aidha uongozi upo katika mchakato wa kumapata mrithi wa Brandts ambaye ataungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili na Mashindano ya klabu Bingwa Afrika.
Mwisho tunawaomba wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga wasivunjike moyo kufuatia matokeo ya bonanza mwishoni mwa wiki, uongozi unajipanga kuhakikisha timu inaimarika kwenye benchi la ufundi na kurudisha furaha katika mzunguko wa pili wa VPL.
Abdallah Bin Kleb
Mwenyekiti - Kamati ya Mashindano
Young Africans Sports Club.
DAR ES SALAAM
23 Disemba, 2013
Kibadeni hakutimuliwa immediately baada ya mechi ya Simba na Yanga, bali alitimuliwa baada ya mzunguko wa kwanza kuisha na hiyo sababu kubwa ilikuwa ni kupeleka wachezaji timu B kitu kilichokuwa kinasababisha wachezaji kukosa kujiamini, haikuwa kitu kizuri mchezaji aharibu mechi moja tu kesho unaambiwa yuko kikosi B.Kibadeni Alipata Droo Akatimuliwa....!!
tumechoka na machama yenu hayo ya chadema na ccm kila ukicheki ni hzo tu.bora hzi za michezo hta kma syo pakePelekeni jukwaa huska bana!hapa ni siasa!!japo ni kweli wamemfukuza
Mngemvumilia na kocha Brandts basi kama ni kocha wa soka, naona mmemfukuza kwa kuwa ni kocha wa bonanza! he he hee! Kipigo kinauma sana, watu wanaanza kusingizia bonanza huku wakifukuzana!eeeeeeee kumbe hapa jamvini kunaruhusiwa kuwepo na habari za bonanza?!! Ingekuwa soccer tungevumilia kidogo lkn bonanza?!!!...
Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu.