Yanga yamtimua kocha wake Ernie Brandts

Yanga yamtimua kocha wake Ernie Brandts

Yanga ni wapuuzi sana,wao walitegemea majina yanaweza kuwabeba na kuwafanya washinde hiyo mechi?!

Wakati wao walikalia kuzungumzia majina,wenzao simb walikuwa wanafanya mazoezi tena ya ukweli,waliamini kwamb wanadharauliwa sana na Yanga,walitambua kwamba mashabiki wao hawajiamini,wana wasiwasi wakaamua liwalo na liwe wakajipanga vizuri.

Mbaya zaidi ni kwamba Yanga wakaingia uwanjani wakitumia majina na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ukilinganisha na wale wa simba!

Ni mbaya sana siku zote kujifanya Goliathi wakati unajua kabisa kwamba lolote linaweza kujitokeza wakati wa pambano!

Hakuna sababu ya kumfukuza kocha,kocha alifanya kazi yake akamaliza.

Isitoshe simba walibaini kwamba hawana hela kwenye mtani jembe kwa hiyo awa ni kutoa machungu kwa yanga kwa kuwapa kipigo ili hizo milioni 98 wazile kwa uchungu.

Kwa kauli hizi Cirkovic angekuwa kocha wa Simba mpaka leo.
 
hapo kwenye red.....yeah right.
aliyeiweka timu kileleni mwa VPL ni nani kama si Brandts?
nonsense!!!

hapo kwenye blue...hiyo ndiyo sababu pekee iliyomng'oa Brandts, sababu ambayo mimi ninaiona ni extremely petty na iliyosheheni mediocrity to its highest degree!!
Yanga wasitegemee kufika kokote CAF champions league kwa ujinga kama huu.

inaudhi sana hii...mfyuuuuuu!!

...and am a Yanga fan!

Mimi ni Yanga fan pia. Angalia historia ya Yanga. Miaka mingi tumekuwa mabingwa katika ligi hii ya ndani. Kimataifa hatukufika popote. Binfsi ninafikiri kama tunataka performance ya kimataifa ni lazima aje kocha mwenye proven record ya hiyo kitu. Na kocha huyo nina hakika sio Brandt.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom