barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,587
Ni yanga tv, wao azam ndio watakua wanaandaa hicho kipindi na kukirusha. Mpaka sasa yanga wanakitengeneza wenyewe kisha wanapeleka file kwenye flash disk azam ili irushwe...Mm kuna kitu sijaelewa; huo mkataba unahusu kufungua channel ya Tv yaani YANGA TV kama ilivo LIVERPOOL TV na kuiweka kwenye king'amuzi cha azam au ni Channel za azam kama UTV, Azam sports 1 HD n.k kurusha taarifa mbalimbali za Yanga?
Wenye kufahamu hili naomba ufafanuzi tafadhali.