Hilo hufanywa na timu za MCHANGANISafi sana,safisha wote tuanze upya.
Kauli ya kinyonge hio. Yanga ya manji wakati ule HATUKUSIKIA neno "wananchi" leo haina PESA ooooh! YANGA YA WANANCHI. Wajinga sn nyie NYANIKuanza upya sio ujinga....Yanga(timu ya wananchi) ni kubwa kuliko mchezaji
Wananchi tumebariki haya mabadiliko wavuta bangi na wahuni lazima tuwaondoe kikosini
Sawa tako moja fc,bomba moja.Kauli ya kinyonge hio. Yanga ya manji wakati ule HATUKUSIKIA neno "wananchi" leo haina PESA ooooh! YANGA YA WANANCHI. Wajinga sn nyie NYANI
Truth Matters matterJuma Abdul ndio mchezaji mwenye assist nyingi kuliko mchezaji yoyote pale japo mlikuwa na strikers butu hata mwaka Jana pia aliongoza kwa assist.Juma Abdul Ni beki mzuri Sana na wakisasa anaweza kupanda na kushuka umahiri wake upo kwenye kupiga Sana cross zenye macho( Kumwaga maji) watu Kama ngoma kipindi kile na Tabwe walimfaidi Sana Juma Abdul.Kumuacha Yondani na jafari hapo wapo sahihi cos viwango vyao vimeshuka ila sio kumuacha mtu Kama Juma Abdul ambaye kiwango chake kipo vile vile angalau Yanga wangemtafutia backup au mchezaji zaidi ya Juma abdul ila sizani hili litatokea Yanga wamefanya makosa Sana kumuacha huyu Mwamba.Kelvin na Juma walishapita muda wao bora. Yondani katusumbua sana msimu miwili iliyopita kupima simu na utovu mwingine wa nidhamu. Mwishoni alikuwa hana namba kwenye kikosi kile 'kibovu'. Juma Abdul pia alisusa mwaka jana karibu nusu ya msimu! Tulichofanya kuwapa mkataba ilikuwa ni huruma tu lakini wasingekuwa na mchango wowote! Pia wachezaji wakifikia umri huu wanawaza maisha "wanaweza fanya hujuma yeyote " YANGA IMESHAWAHI KUACHA TIMU MZIMA MARA MBILI" Nani anaikumbuka Yanga Yoso? Waliachwa wakina Saidi Mwamba na Mohamedi Hussein! TUACHHENI TUJENGE TIMU YETU! Ikiwa tunakosea si ni vizuri kwenu mshinde goli 10?
Ukweli Juma Abdul ni Beki mzuri wa kulia, krosi zake zimesaidia sana Yanga (assist), ila akija Kwetu atasota benchi, tunae KapombeMsajilini au Kama vipi mtafutie timu maana ameshatemwa. Hata Kama mzuri asingecheza milele iko siku angetoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomuacha ndio wajuao namna gani wataziba pengo lake maana si kana kwamba hawajui uwezo wake. Mpira bila nidhamu wakati mwingine ni usumbufu. Mfano timu ina mechi mchezaji haonekani hatoi sababu mbaya zaidi anazima simu yake unategemea nini.Ukweli Juma Abdul ni Beki mzuri wa kulia, krosi zake zimesaidia sana Yanga (assist), ila akija Kwetu atasota benchi, tunae Kapombe