Yanga watinga muhimbili

Kintiku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
617
Points
225

Kintiku

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
617 225
Katika kile kinachoonekana kuwa na mzio na rangi nyekundu, klabu ya Yanga imepeleka maulizo hospitali ya Muhimbili kuuliza kama inawezekana kubadilisha rangi ya damu ya wachezaji wao kuwa njano, kijani au hata nyeusi.

Maulizo hayo yanafuatia klabu hiyo kukataa kata kata kuvaa jezi zenye nembo nyekundu ya Vodacom na baadhi ya watu kuwasuta kuwa basi wabadilishe pia rangi ya damu zao. Ndipi kiongozi mmoja(jina linahifadhiwa) alipoamua kuwaaambia wenzie kuwa yeye ame google kwenye mtandao na kubaini inawezekana kubadili rangi ya damu wakimeza aina fulani ya dawa spesheli.
 

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
5,322
Points
1,250

First Born

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
5,322 1,250
masaburi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Kintiku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
617
Points
225

Kintiku

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
617 225
Simba jamani waache kuwafunga Yanga, maana wakipigwa mechi ijayo sijui itakuwaje?

Mliosoma sheria hebu tujuzeni mambo ya mikataba sheria inasemaje kuhusu mkataba wa TFF na Vodacom na hatimaye kwa klabu wanachama wa TFF. Je Yanga hawako vicariously liable kutii mikataba ya TFF kuhusu udhamini wa mikataba kwa klabu zilizo chini ya TFF?
 

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
32,199
Points
2,000

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
32,199 2,000
jamani ni utani tu, mbona matusi makubwa hivyo jamani?? Idd el Fitri mie mwezi nshauona hivyo ati
 

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,590
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,590 2,000
katika kile kinachoonekana kuwa na mzio na rangi nyekundu, klabu ya yanga imepeleka maulizo hospitali ya muhimbili kuuliza kama inawezekana kubadilisha rangi ya damu ya wachezaji wao kuwa njano, kijani au hata nyeusi.

Maulizo hayo yanafuatia klabu hiyo kukataa kata kata kuvaa jezi zenye nembo nyekundu ya vodacom na baadhi ya watu kuwasuta kuwa basi wabadilishe pia rangi ya damu zao. Ndipi kiongozi mmoja(jina linahifadhiwa) alipoamua kuwaaambia wenzie kuwa yeye ame google kwenye mtandao na kubaini inawezekana kubadili rangi ya damu wakimeza aina fulani ya dawa spesheli.
mzazi wetu angesubiri sekunde 60 tu kukuzaa ungezaliwa na aya ya quran kwa kweli
 

Forum statistics

Threads 1,352,840
Members 518,197
Posts 33,067,679
Top