Yanga wanajua zawadi ya mshindi wa CRDB Cup ilikuwa inaenda kuongezeka msimu huu

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,470
Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.

Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.

CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.

Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.

Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.

Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
 
Hueleweki madai yako ni yapi dhidi ya yanga wewe dada, mara yanga anaona wivu simba kuwa vizuri kwenye rank za CAF😂, Tp mazembe ana ndoo zaidi ya mbili za CAF wala hayupo hizo rank unazojisifia nazo!.
Simba kwenye hili swala nyie kaeni mtulie viherehere vya nini?, nyie mlishapiganiwa na Bodi basi wachenj yanga apigane na baba yenu!! Kaeni mlambe asali msubiri nani ataibuka kidedea!!.
Kendelea kushadadia jambo ambalo haliwahusu ni ujinga, anachokidai yanga ndicho mlikihitaji wakati mnagomea trh 8, yanga anataka pesa zake kama mnazo wakopesheni Tff iwalipe nje hapo... Hakuna mpira utachezwa hapa😂.
YANGA AFRIKA NDIO BABA LA MPIRA HAPA TZ.
 
Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.

Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.

CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.

Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.

Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.

Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
Wewe jamaa siku nzima hili suala la madai ya yanga umelivalia njuga Sana as if kama umetumwa na hao TFF ..
 
Mimi ni mmoja wa watu wachache tunaotema facts tupu humu jukwaani. Kuna siku sitakuwepo tena. Furahia na thamini sana uwepo wangu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Rage alikua sahihi kabisa

Mashabiki wa 5imba kwenye hili sakata la pesa mngekaa kimya tu mnajiaibisha sana. Kumbukeni mwenzenu akinyolewa za kwenu tieni maji
Kwani ananyolewa nani?Za chini au za juu?Mnyolewe nyie sisi hayatuhusu.
 
Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.

Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama wanasahaulika hivi au hawaimbwi kwa lolote, wanajaribu kupata vitu ambavyo watu wasiojielewa wakisaidiwa na chawa wao watasema "bila Yanga hili lisingetokea". Hizi ni propaganda.

CRDB waliingia mkataba na TFF katikati mwa msimu wa FA msimu uliopita. Kama ambavyo kawaida mikataba mingi ilivyo, mwaka wa kwanza pesa inakuwa ndogo na inaongezeka kwa jinsi miaka inavyokwenda. Kwa mfano, mwaka jana walitoa milioni 250 tu wakati msimu huu wametoa bilioni 1. Mkataba wa CRDB na TFF ulikuwa unaongezeka sana kwenye msimu huu wa 2024-25 na hata zawadi ya bingwa itakuwa kubwa zaidi. Zawadi inaweza kuwa hata hiyo milioni 200 waliyojipachikia katika deni la mwaka jana.

Kwa kujua hilo, Yanga wametengeneza hili zengwe ili mwisho wa siku zawadi ya mwaka huu ikitangazwa waonekane wao ndiyo waliipigania hadi zawadi ikaongezeka wakati ilikuwa katika mipango ya TFF.

Yanga wasingeweza kukacha kucheza fainali ya CRDB Cup dhidi ya Singida, kombe pekee msimu huu lililobaki ambalo wana uhakika wa kulichukua mpaka sasa.

Nasemaga siku zote, Yanga nawajua kama kiganja cha mikono yangu na hakuna janja janja yao ambayo naweza kushindwa kuifahamu.
We ni matako
 
Sijui kwa nini umo humu JF.
 
Pole sana sijauliza za chupi kumbe washatatua ili kuipata degree aisee
Wewe ndio ulikimbilia degree kana kwamba ndio muhimu sana.Na kwa vile hujui hata kusoma hujaelewa nilichoandika.Hicho kidegree ka chupi unacho wewe. Kwa unavojieleza huwezi ukawa na hata certificate ya kupasi kwa uwezo wako.Ni lazima walikufiramisha.
 
Back
Top Bottom