F famad JF-Expert Member Feb 19, 2019 372 482 May 21, 2022 #41 Herbert Nkuluzi said: Ukubwa wake upo katika nini? Na kama Simba ni ya wahindi kwani wahindi hao si wananchi wa Tz? Click to expand... Bila shaka kuna harufu ya ubaguzi kwa hawa wenzetu wa bwawani
Herbert Nkuluzi said: Ukubwa wake upo katika nini? Na kama Simba ni ya wahindi kwani wahindi hao si wananchi wa Tz? Click to expand... Bila shaka kuna harufu ya ubaguzi kwa hawa wenzetu wa bwawani
F famad JF-Expert Member Feb 19, 2019 372 482 May 21, 2022 #42 CHAMASON-MORISON-SAKHOSON said: hivi uto mnamteteaje hyomsukule View attachment 2231910 View attachment 2231911 Click to expand... Halafu utakuja sikia "ni utani wa jadi tu huo"
CHAMASON-MORISON-SAKHOSON said: hivi uto mnamteteaje hyomsukule View attachment 2231910 View attachment 2231911 Click to expand... Halafu utakuja sikia "ni utani wa jadi tu huo"
DIUNATION JF-Expert Member Apr 2, 2012 2,586 1,709 May 21, 2022 #43 Its Pancho said: Hicho kimbaumbau barbra si juzi tu kalikuwa na kesi na ofisa wa tff, kakaomba msamaha? This time ndio ataujua ukubwa wa yanga ameyakanyaga.. Click to expand... Ukubwa wa mavi.Kama kaweza kustopisha mkataba wa GSM nani anamuweza
Its Pancho said: Hicho kimbaumbau barbra si juzi tu kalikuwa na kesi na ofisa wa tff, kakaomba msamaha? This time ndio ataujua ukubwa wa yanga ameyakanyaga.. Click to expand... Ukubwa wa mavi.Kama kaweza kustopisha mkataba wa GSM nani anamuweza
This is... JF-Expert Member Dec 28, 2014 4,914 4,998 May 22, 2022 #44 Its Pancho said: Utauona kupitia kesi hii. Click to expand... kesi km ile ya Morrison
This is... JF-Expert Member Dec 28, 2014 4,914 4,998 May 22, 2022 #45 Tate Mkuu said: Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini. Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii. Click to expand... Mkubwa mbele ya geita, mbuni FC. Kwa mpira huu wa Africa, Yanga Ina ukubwa gani. Tengenezeni timu ya ushindani mkashindane na wakubwa. Acheni umaandazi. Yanga ikicheza kimataifa ni imeenda Zanzibar, kombe la mapinduzi.
Tate Mkuu said: Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini. Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii. Click to expand... Mkubwa mbele ya geita, mbuni FC. Kwa mpira huu wa Africa, Yanga Ina ukubwa gani. Tengenezeni timu ya ushindani mkashindane na wakubwa. Acheni umaandazi. Yanga ikicheza kimataifa ni imeenda Zanzibar, kombe la mapinduzi.
This is... JF-Expert Member Dec 28, 2014 4,914 4,998 May 22, 2022 #46 Its Pancho said: Utauona kupitia kesi hii. Click to expand... Kuna kesi halafu Kuna malalamiko. HIZI nazo kesi?
Its Pancho said: Utauona kupitia kesi hii. Click to expand... Kuna kesi halafu Kuna malalamiko. HIZI nazo kesi?
jonas amos JF-Expert Member Jul 4, 2016 3,621 4,400 May 22, 2022 #47 CHAMASON-MORISON-SAKHOSON said: hivi uto mnamteteaje hyomsukule View attachment 2231910 View attachment 2231911 Click to expand... Wapi manara alitaja simba hapo?
CHAMASON-MORISON-SAKHOSON said: hivi uto mnamteteaje hyomsukule View attachment 2231910 View attachment 2231911 Click to expand... Wapi manara alitaja simba hapo?
3ZOV JF-Expert Member Dec 28, 2020 6,266 7,001 May 22, 2022 #48 jonas amos said: Wapi manara alitaja simba hapo? Click to expand... Kumbu kumbu zako zinasemaje siku hiyo asec alikuw mgeni wa nani hapo kwa mkapa? Kama hakuitaja simba kwanini alifuta haraka shida ilikuw nini?
jonas amos said: Wapi manara alitaja simba hapo? Click to expand... Kumbu kumbu zako zinasemaje siku hiyo asec alikuw mgeni wa nani hapo kwa mkapa? Kama hakuitaja simba kwanini alifuta haraka shida ilikuw nini?
M mjogoro JF-Expert Member Feb 18, 2011 882 652 May 22, 2022 #49 Mmmmmh ushabiki huuu DIUNATION said: Ukubwa wa mavi.Kama kaweza kustopisha mkataba wa GSM nani anamuweza Click to expand...
Mmmmmh ushabiki huuu DIUNATION said: Ukubwa wa mavi.Kama kaweza kustopisha mkataba wa GSM nani anamuweza Click to expand...
mwandende JF-Expert Member Feb 16, 2017 10,539 19,944 May 22, 2022 #50 Tate Mkuu said: Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake! Dogo unatakiwa ujitathmini. Click to expand... wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn? Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,, Wewe umeona dharau. Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini.. Uliza vizuri history uelezwe. Sasa kama dharau unaileta wewe. Ukweli ndy huo..
Tate Mkuu said: Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake! Dogo unatakiwa ujitathmini. Click to expand... wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn? Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,, Wewe umeona dharau. Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini.. Uliza vizuri history uelezwe. Sasa kama dharau unaileta wewe. Ukweli ndy huo..
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,693 82,817 May 22, 2022 #51 mwandende said: wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn? Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,, Wewe umeona dharau. Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini.. Uliza vizuri history uelezwe. Sasa kama dharau unaileta wewe. Ukweli ndy huo.. Click to expand... Sasa makuli ndiyo unafananisha na hayo magabachori yako! Hopeless kabisa wewe.
mwandende said: wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn? Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,, Wewe umeona dharau. Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini.. Uliza vizuri history uelezwe. Sasa kama dharau unaileta wewe. Ukweli ndy huo.. Click to expand... Sasa makuli ndiyo unafananisha na hayo magabachori yako! Hopeless kabisa wewe.