Divele Dikalame
Member
- May 4, 2010
- 77
- 12
Mzee Joseph Mwasokwa amezikwa kwao Kyela watu wengi wamehudhuria akiwemo R.O, mzee Apson,Mwakipesile,Mwambulukutu n.k hayati Mzee Mwasokwa pamoja na kufanya kazi idara ya usalama wa taifa pia alikuwa mkereketwa mkubwa wa klabu ya Yanga na akijitolea na kushauri mambo mbali mbali lakini jambo la kusikitisha na kustaajabisha klabu ya Yanga wameshindwa kuleta muwalishi wao mazishini!!? ubinadamu gani huu?