Mtibwa3-0Yanga.
Fanyeni uchaguzi tena.
Mtibwa3-0Yanga.
Tena ni miaka yote Yanga huwa anaanza kwa kusuasua!usijari sana hata kageme cup huwa tuna anza kwa style hiyo!!
Yes Yanga wafanye uchaguzi mwingine,sisi.....................tutaendelea na timu yetu pendwa.............!Fanyeni uchaguzi tena.
wamepigwa 3 mpk xaiv zimebaki dk 5
usijari sana hata kageme cup huwa tuna anza kwa style hiyo!!
soka ni lile lile tu!!!ngoja tukianza kazi utanitafuta!!!print hii uitunze kama reference!!!Nadhani unachanganya mambo mdau, hii ni ligi haifanani na kagame
Bangi mbaya sana!
mechi ya simba vipi wakuu,haijaisha tu? make mpaka sasa tumemchapa mtu mbili bila na tupo pungufu......raha sana kushabikia timu hii