Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,815
- 4,861
Okwi kapewa kadi nyekundu dk 41
Duh watakua walimkamia sana
Okwi kapewa kadi nyekundu dk 41
Mtibwa2-0Yanga dk 45.
Mnhhh...masihara hayo..mtibwa 2 yanga 0??..kwani hiyo yanga yanga ipiii? Sio ile ya muyu twite? Kelvin yo ndani?
Okwi kapewa kadi nyekundu dk 41
Mtibwa2-0Yanga dk 45.
We mwehu nini?hila za Manji!?
Simba 1 JKT Ruvu 0 kipindi cha pili
nani mfungaji mkuu..afadhali..
usijari sana hata kageme cup huwa tuna anza kwa style hiyo!!duh poleni watani