Yanga vs Mtibwa/Simba vs JKT Ruvu - Sept 19, 2012 (Updates)

Mechi inayokuja na wazee wa Msimbazi! Kaazi kwelikweli

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
soka ni lile lile tu!!!ngoja tukianza kazi utanitafuta!!!print hii uitunze kama reference!!!
Najua mpira ni uleule ila Usikariri. Ingekuwa ni hivyo msimu uliopita mmgechukua ligi baada ya kuchukua kagame
 
Haabri zilizotufikia hivi punde timu ya yanga imefungwa bao 3 bila na mtibwa na kuhitimisha ukweli swala si kocha wa kigen bali ni aina gani ya bunduki unazotumia
nawatakia kila kheri yanga wenzangu msikate tamaa hata madread wameanza hivi hivi

innalilah rajuun

Wote ni hao hao, si simba wala yanga, ni welevu katika wajinga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mechi ya simba vipi wakuu,haijaisha tu? make mpaka sasa tumemchapa mtu mbili bila na tupo pungufu......raha sana kushabikia timu hii

Watani zangu Yanga mchezo mlioichezea Simba ni sawa na kuzini na mke wa mtu, mwenye mke akakujua na kumwachia Mungu. Hiyo ni laana na mtaendelea kupigwa hata na Lyoni. Nimefurahi sana!
 
hivi huyu Tom ndo anataka tumuondoe kwa stail hiyo kweli!!!!yanga inawenyewe!!
Punguza hasira mkuu.
Mbona hii ndio style yetu siku zote.
Tutaanza ligi rasmi tar 22 taifa dhidi ya JKT RUVU mkuu!
Waache simba watangulie na baiskeli ya barafu.
 
Punguza hasira mkuu.
Mbona hii ndio style yetu siku zote.
Tutaanza ligi rasmi tar 22 taifa dhidi ya JKT RUVU mkuu!
Waache simba watangulie na baiskeli ya barafu.
ahsante mandieta kwa kunitia moyo!!naomba tu iwe hivyo maana sijui itakuwaje isipokuwa hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Morogoro wamepitiwa na popobawa wameamka wamechoka ;loh
mbey walila la wawili waiwili sasa moro kunani
 
Oya nyie mashabiki mnaonisubili geto safi sana,nilindieni nyumba yangu leo mie naenda kulala kwa demu wangu "MABWE PANDE"
 
Back
Top Bottom