Kesho ni raha tupu. Wakitoka sare watakuwa wamemalizana wao kwa wao, Azam akishinda Simba aibu tupu, Simba akishinda anasaidia kupeleka kombe jangwani, sasa hapa: Mkuna na mkunwaji, nani huona raha?
msuva ni sawa mbwa koko anaye bweka tu bila kung'ata. ukiona anavyokimbiza utasema huyo ndo mchezaji. lakini kufunga tu. hata ukimuachia goli atapiga nje. yeye na mbaga lao moja. siku wakifunga hata penati jua wamebahatisha. halafu wakifunga huwa wanashangilia saaanaaa!!. mia
Kesho ni raha tupu. Wakitoka sare watakuwa wamemalizana wao kwa wao, Azam akishinda Simba aibu tupu, Simba akishinda anasaidia kupeleka kombe jangwani, sasa hapa: Mkuna na mkunwaji, nani huona raha?