Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,175
- 111,115
Kado anaonyesha kuwa tulimwacha kwa bahati mbaya
Si umeona hizo mbwembwe zake eenh...Bahanuzi leo ana uchu naye
Kado anaonyesha kuwa tulimwacha kwa bahati mbaya
Niyonzima akigusa mpira basi Coastal wanaogopa...mdogo wa Nizar kapigwa chenga hadi kaanguka.
wajitafutia majanga tu..
Bona anakwenda kijiti sanaMuulize Boban
Bobana anakwenda kijiti sanaMuulize Boban
Kwa nini kaka mkubwa??
Bobana anakwenda kijiti sana
Bobana!!!atakuwa wa kahama united!!ni mchezaji wawapi huyu mkuu...
Boban anakwenda kijiti sana yule, nidham chenga pale.Muulize Boban