Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Ivi Simba hawana Baloteli wao naye aweke nadhiri ya kidosho?
Obwato siku mbili hizi umekua na utani mbaya kwelii, hahahahahahahaaa!
Ivi Simba hawana Baloteli wao naye aweke nadhiri ya kidosho?
haha mkuu siyo ule muda wa kuku kutoweza kumeza punje ya ulezi!!Dk 3 zinaongezwa
haha mkuu siyo ule muda wa kuku kutoweza kumeza punje ya ulezi!!
Ivi Simba hawana Baloteli wao naye aweke nadhiri ya kidosho?
Ivi Simba hawana Baloteli wao naye aweke nadhiri ya kidosho?
Mke wako ya nini umchungulie bafuni...Mpira ni HT
Coastal 1 - 1 Yanga
Dakika ya 16
Yanga 1-1 Coastal union
Abdi Banda anapiga mpira mwa fauli moja moja mpka ndani ya goali
Mke wako ya nini umchungulie bafuni...
Hao wetu tu.
Dakika ya 16
Yanga 1-1 Coastal
Abdi Banda anapiga mpira mwa fauli moja moja mpka ndani ya goali
ha ha ha!jamaa alilia wembe akapewa!!Vipi mzee aliyeomba BAN hajafunguliwa tu kwani sioni lugha zile za kashfa kwa wanajangwani.NIJUZENI wakuu.
hiyo faulo ilikua umbali gani, maana kama kuna sukari kidogo hapa.
yanga hii kwa wale simba wototo wenye njaa naona tano nyingine
mmmh!unakoelekea wewe.....!yanga hii kwa wale simba wototo wenye njaa naona tano nyingine
mmmh!hivi ajira za watoto zinaruhusiwa!!!si tunataka wakubwa wenzetu bwana!yanga hii kwa wale simba wototo wenye njaa naona tano nyingine