YANGA Vs COASTAL UNION

YANGA Vs COASTAL UNION

Hahahah...mechi ya mtani lazima kikosi kiwe imara kutunza heshima.
Itabidi tuongee na Prof. Maji Marefu kabla ya tarehe 18 awatengue ankle Haruna Niyonzima na yule dogo winga yule ambaye naona leo hata kwenye benchi hayupo.
 
Kado anawabania Yanga kama sio mwanajangwani bhanaaa...
 
Hahaha....hivi Maji Marefu hadi kwenye fitna za mpira pia yumo??
Mi nilidhani ni speshalisti wa kukamata wanga tu...!!!

Itabidi tuongee na Prof. Maji Marefu kabla ya tarehe 18 awatengue ankle Haruna Niyonzima na yule dogo winga yule ambaye naona leo hata kwenye benchi hayupo.
 
maundiiiiiiiiiiiiii kanavaro anaokoa duu leo mtu anakufa..
 
Coastal wamefanya shambulizi hapa...mpira unaokolewa na Nadir Haroub maana Said Mohamed alishapelekwa markiti...
Goalkick...
 
Mpira unagonga mwamba hapa...Coastal wanakoswakoswa...
Lahaulaaaa lakwata...
 
Back
Top Bottom