Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
pamoja mkuu ila tutakuwa tunachagiza kiaina!!
Yote kheri Mkuu!
pamoja mkuu ila tutakuwa tunachagiza kiaina!!
Kado anaonyesha kuwa tulimwacha kwa bahati mbaya
Hahaha....hivi Maji Marefu hadi kwenye fitna za mpira pia yumo??
Mi nilidhani ni speshalisti wa kukamata wanga tu...!!!
Mpira unagonga mwamba hapa...Coastal wanakoswakoswa...
Lahaulaaaa lakwata...
kama nakuona vile.!!
ha ha ha ha!!ilikuwa enzi zipi mkuu!!!maana kuna zile enzi golikipa akifungwa goli la kupita kati ya miguu tulikuwa tuna hesabu mawili!!!Mkuu hadi midadi inapanda maana enzi zetu lile tulikua tunahesabu kama nusu goli....hahahah
Hawa ni multi purpose mkuu, hata hiyo mkimfuata mbona anaifanya tena vizuri tu.Hahaha....hivi Maji Marefu hadi kwenye fitna za mpira pia yumo??
Mi nilidhani ni speshalisti wa kukamata wanga tu...!!!
Jamani ngapi ngapi. kwani hawa Cost of Onions leo wamekula nini au wametumwa?
Jamani ngapi ngapi. kwani hawa Cost of Onions leo wamekula nini au wametumwa?
Hawa ni multi purpose mkuu, hata hiyo mkimfuata mbona anaifanya tena vizuri tu.
Coastal wamefanya mabadiliko...sijui yana tija au ndio kila mtu acheze.
Dk 90
Yanga 1 - 1 Coastal