Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,261
- 16,653
usisahau ule muda wetu wa kuku kumeza punje ya ulezi ndo huu!!!Dk 90
Yanga 1 - 1 Coastal
usisahau ule muda wetu wa kuku kumeza punje ya ulezi ndo huu!!!Dk 90
Yanga 1 - 1 Coastal
ha ha ha ha!!ilikuwa enzi zipi mkuu!!!maana kuna zile enzi golikipa akifungwa goli la kupita kati ya miguu tulikuwa tuna hesabu mawili!!!
Kaka sasa hivi dakika zilizobakia ndio zile zisizoruhusu hata kuku kumeza punje ya mtama....
Hizo ni enzi za Umitashumta na Umiseta
Kosa la Kado ni kilee kipigo cha 5-0, kipigo hicho hicho kimemweka kando Yaw Berko.
Hivi Simba Koko anashika nafasi ya ngapi wadau?
Hivi Simba Koko anashika nafasi ya ngapi wadau?
Mtibwa Sugar FC Mpira umekwisha mtibwa 2 african lyon 0 ..goli zote 2 zimefungwa na hussein javu
Kama sikosei ya 15
- Ruhazwe JR lundenga wa jf upo na wewe pia..
Subiri Mei 18 ndio utamjua kama ni Simba koko au vipi.
Mkuu hizo tano Kado anahusikaje tena? maana langoni alikuwepo Yaw Berko kipindi cha kwanza na kipindi cha pili alicheza Said Mohamed.Kosa la Kado ni kilee kipigo cha 5-0, kipigo hicho hicho kimemweka kando Yaw Berko.