YANGA Vs COASTAL UNION

YANGA Vs COASTAL UNION

Kipindi cha pili kinakaribia kuanza...
 
Game imeshaanza
Coastal 1 - 1 Yanga
 
Niyonzima kaingizwa naona anawachachafya hawa Coastal...
Yanga wanapata kona...
Inatolewa tena ni kona pacha...
Kado anadaka na inapigwa goalkick...
 
uyu bahanuzi anavijipu kwenye kwapa? anakimbia iyo mikono anavyoiweka duuu..!
 
Yanga piga hao.Huyu Banda huyu!any way ndio alisaidia kutupa ubingwa.
 
[h=5]Here's Young Africans line-up to face Coastal Union today in VPL:
1.Said Mohamed - 30
2.Mbuyu Twite - 6
3.Oscar Joshua - 4
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23 (c)
5.Kelvin Yondani - 5
6.Nurdin Bakari - 22
7.Nizar Khalfani - 16
8.Frank Domayo - 18
9.Said Bahanuzi - 11
10.Jerson Tegete - 10
11.Abdallah Mnguli 'Messi' - 12

Subs:
1.Yusuph Abdul - 19
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Stephano Mwasika - 3
4.Godfrey Taita - 17
5.Omega Seme - 21
6.George Banda - 25
7.Haruna Niyonzima[/h]
Natamani na siku ya tarehe 18 mpange kikosi hiki hiki ndo mtamjua Simba mtoto ni nani.
 
Kado anaonyesha kuwa tulimwacha kwa bahati mbaya
 
Natamani na siku ya tarehe 18 mpange kikosi hiki hiki ndo mtamjua Simba mtoto ni nani.

Hahahah...mechi ya mtani lazima kikosi kiwe imara kutunza heshima.
 
Back
Top Bottom