Du😂😂😂Mimi napendekeza kicheze kikosi C! Kile kilichocheza na KVZ. Maana kama waliweza kutoa sare na timu ya kauka nikuvae, na kupata sare tasa! Tukisema tuweke full mkoko, tutawapiga nyingi.
Ww jana ulimshauri Kipara aweke full mkoko kwa sbb hamtaki aibu...hahahhhaMimi napendekeza kicheze kikosi C! Kile kilichocheza na KVZ. Maana kama waliweza kutoa sare na timu ya kauka nikuvae, na kupata sare tasa! Tukisema tuweke full mkoko, tutawapiga nyingi.