Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

Bado Tusker wanaongoza, naona wenye timu yao wameniachia jukwaa, hata hivyo msiwe na wasi wasi nitawaletea hadi matokeo ya mwisho.

Comments kama hizi afu unajiita football analyst? Gimme a break!
 
Bado Tusker wanaongoza, naona wenye timu yao wameniachia jukwaa, hata hivyo msiwe na wasi wasi nitawaletea hadi matokeo ya mwisho.

yeah im behind you buddy vipi possession ya mpira ikoje..
 
ngoja niweke kusidie kuweka alama ya mshangao kwa maneno ya t toto !
Mkuu mimi sio mshabiki wa Yanga sawa lakini nilichosema ni ukweli, ngoja niwachambue mmoja mmoja uone umhimu wao kwa timu.

Kelvin Yondani- Ni beki imara sana, hapaniki ovyo, anajua kujiposition ili kumzuia mshambuliaji, anasukuma mashambulizi mbele baada ya kuwa ameshamdhibiti opponent.

Mbuyu Twite- Huyu ni mrushaji mzuri sana wa mpira hasa mipira ambayo iko karibu na lango la adui, anapiga faulo vizuri sana, ana mapafu ya mbwa.

Haruna Niyonzima- Huyu ndo roho ya Yanga kwa sasa, anakaba, anashambulia kutokea pembeni, kutokea kati, ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira ana macho ya ziada kiasi kwamba anapiga through passes nzuri sana, ni mpigaji mzuri wa kona.

Na mechi yoyote ya mashindano huwezi kuwakosa hao vijana watatu labda kama ni majeruhi.

Matokeo ya mwisho: Yanga 0-1 Tusker.
 
Comments kama hizi afu unajiita football analyst? Gimme a break!
Mkuu unataka nijaze maelezo ya kwa nini walitakiwa waingie ili kurekebisha matokeo, sio lazima ueleze kila kitu saa nyingine unasema tu fanya hivi kama unataka kufanikiwa bila kutoa maelezo kwa nini umesema hivyo, lakini kama unataka maelezo utaambiwa baadaye baada ya kutimiza ulichoagizwa.
 
Hongereni sana wanajangwani. Mmejitahidi sana kwakweli.
 
Back
Top Bottom