Poa mkuu, hongera kwa kupata vikombe viwili.
Jamani tupeni matokeo wakuu mliopo karibu.
Matokeo mbona yapo mkuu, Tusker wanaongoza kwa goli moja na Yanga hawajapata kitu.Jamani tupeni matokeo wakuu mliopo karibu.
Ndio mkuu kipindi cha pili mtaona mabadiliko
Punguza viloba mkuu unakuwa kama shabiki wa simba bana
Dakika 45 zilizobaki zinatosha kabisa kufanya mabadiliko na kushinda. Vijana waliopandishwa kutoka B wanacheza vizuri.
Leo akina Mzee Akili Mali anaonyesha hadharani silaha mpya zilizo sajiliwa Jangwani kwa ajili ya mzunguko wa pili.
Karibuni Taifa wenye mapenzi mema na Yanga na soka la bongo.
Mpira unaanza saa 10.kamili jioni ya leo 26/12/2012
Yanga bila Kelvin Yondan, Niyonzima na Mbuyu Twite hamna kitu, waingizeni hao vijana muone mabadiliko.