Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

You bet...... Our Sheikh Yahya JR.

Huyu football analyst TIQO kapotelea wapi tena?

Nimeondoka na fastjet jioni hii mpaka KIA saizi nipo Kibosho nafungua zawadi za wife
 
Last edited by a moderator:
Masuke asante kwa matangazo mazuri sana

poleni kina akilimali and the company...
 
Last edited by a moderator:
Matokeo mazuri sana haya kwa sie wana-Yanga,tunapata muda wa kukaa chini kutafakari tuna udhaifu wapi kisha twafanya marekebisho.YANGA DAIMA MBELE,NYUMA MWIKO!
 
Back
Top Bottom