Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Leo akina Mzee Akili Mali anaonyesha hadharani silaha mpya zilizo sajiliwa Jangwani kwa ajili ya mzunguko wa pili.
Karibuni Taifa wenye mapenzi mema na Yanga na soka la bongo.
Mpira unaanza saa 10.kamili jioni ya leo 26/12/2012
 
Kabange Twitte pacha wa Mbuyu Twitte leo anaanza
 
Mkuu kama utakuwa uwanjani tujuze,na ikiwezekana weka alama ya LIVE ili iwe na mvuto zaidi,wengine hatuko huko leo mimi leo niko Kampala nimeingia Asubuhi,halafu yanga wanashindwa nini kulipia hata Star Tv ili waoneshe mechi hiyo LIVE?Manji hayupo jamani??
 
Shusha list hapa tuione,na kama atashuke maana yake ni kwamba yeye ni lazima apige sita,Domayo au Chuji apige nane,Niyonzima atokee wingi ya kushoto,Pale katikati kama kawa Mzee mzima.
 
Mkuu njoo Taifa utuchangie nauli ya Ulaya
 
Mkuu kama utakuwa uwanjani tujuze,na ikiwezekana weka alama ya LIVE ili iwe na mvuto zaidi,wengine hatuko huko leo mimi leo niko Kampala nimeingia Asubuhi,halafu yanga wanashindwa nini kulipia hata Star Tv ili waoneshe mechi hiyo LIVE?Manji hayupo jamani??

Poa mkuu naona umeenda kula x.mass ukweni!
 
Mpira ndo unakaribia kuanza, mimi niko na kimkulima changu cha dijitali nasikiliza kupitia Kiss FM, Hassan Mvula yuko vizuri kabisa anatanijuvya kila kitu na mimi nitawajuvya kila kitu endapo net haitaleta kwikwi.
 
Mi nlijua mtakuo uturuki leo mnakipga na fernabance kumbe,mnakimbzana na tusker f.c taifa.
 
Wakati tunasubiri updates kutoka Taifa ninaomba walioko Sheikh Amri Abeid kule Arusha mtujuze yanayojiri huko kati ya Cheka na huyo Mmalawi a.k.a Mnyasa. Natangulisha shukrani kwa updates kutoka huko Arusha.
 
Mi nlijua mtakuo uturuki leo mnakipga na fernabance kumbe,mnakimbzana na tusker f.c taifa.

Acha mayowe safari ya Uturuki ipo.
Oscar Joshua anaokoa hatari hapa
 
Back
Top Bottom