Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

Yanga v/s Tusker uwanja wa Taifa

Leo akina Mzee Akili Mali anaonyesha hadharani silaha mpya zilizo sajiliwa Jangwani kwa ajili ya mzunguko wa pili.
Karibuni Taifa wenye mapenzi mema na Yanga na soka la bongo.
Mpira unaanza saa 10.kamili jioni ya leo 26/12/2012
Sema leo wachawi wa Yanga wanaonyesha hadharani wachezaji wapya wa Yanga...
 
Hawa wachezaji vipi? Hawajui kama mpira ni magoli.
 
Mshambuliaji wa Tusker aliangushwa ndani ya eneo la hatari, na Ismail Anaipatia Tusker goli, Tusker moja na Yanga sifuri.
 
Goooooooooooooolll,ismail anaipatia tuskar,goli la kwanza,mpira ni haf tym.
 
Back
Top Bottom