Nizarrr
Tunashangilia Okwi Okwi Okwi Okwi simba simba
Msimamo wa ligi tunajikita kileleni gap la point 3 lipo pale pale ubingwa tutatangaza kwenye mechi na Azam masimba hayatuumizi kichwa.
leo shuzi limepata mjambaji..
Nyinyi Simba kaeni kimya msubiri LIBOLO
Dk.2 zimeongezwa na refa
Mpira hamna nyinyi labda ufundi wa kula tende.
Mpira umekwishaaaa....
Yanga 4 - 0 African Lyon
Hongereni wanajangwani..
nilijua mtaitupia tano kama mlizotupiwa na simba au mnaziweka kwa ajili ya simba..