Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,372
- 95,218
Baqari Mbegu ameumia anatoka anaingia Yusuf Mgao upande wa Africa Lyon dk.12
Hilo jina la Bakari Mbegu ulivyoliandika...naona umeliandika Kidhungu!!!
Baqari Mbegu ameumia anatoka anaingia Yusuf Mgao upande wa Africa Lyon dk.12
Bingwa azam, yanga anatu sindikiza
Kwani hujui mi nashabiki Yanga tena Yanga damu
Hilo jina la Bakari Mbegu ulivyoliandika...naona umeliandika Kidhungu!!!
Refa kachemka vibaya mno kapuliza kipenga kanakwamba Kiiza kaotoa kumbe kulikuwa kuna beki mbele ya Kiiza
Nasikia Yanga anapata penati loh!...
Tunakosa hapa
Haya kikosi cha Azam hiki hapa
1. Azam Ice cream
2. Azam Cola
3. Azam malt
4. Azam Uhai
5. Azam Milk Lollies
6. Azam Biskuit
7. Azam wheat flour
8. Azam Sembe
9. Azam Chapati Tayari
10. Azam Chocolate Ripple
11. Azam Yoghurt
Substitute:
12. Azam Marine
13. Azam Special Bread
14. Azam Rice
15. Azam Ball Cone