Yanga v/s African Lyon

Yanga v/s African Lyon

Kavumbagu kafunga Yanga 3 Lyon 0
 
Saimon Msuva anatoka anaingia Nizar Khalfan
 
Kavumbagu kaambaa na mpira katumbukiza kati Nizar kaukosa
 
yangaaaaaaaaaaaaa safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, sijui kwani maccm yalichukua rangi ya timu yang wakati siyapendi!!!
 
Leo dimba la kati limeshikwa vilivyo na Domayo, Chuji wakishirikiana vilivyo na Haruna Niyonzima
 
Dk.35 Nizar anafunga akipokea pasi toka kwa Said Bahanuži
 
Hamis Kiiza katoka kaingia Said Bahanuzi
 
Pengo la Mbuyu Twitte kwenye kurusha na kupiga faulo linaonekana mashuti yake yale balaa
 
Back
Top Bottom