Yanga v/s African Lyon

Yanga v/s African Lyon

Mpira umekwisha dk.90 zimeisha. Yanga 4 African Lyon 0.
Posts hizi zimeletwa kwenu kwa uzamini wa Gongo, mnazi na Chibuku kwa afya safi.

malizia na dumba za 2500/=

Hongera zenu wana Jangwa..
 
Magazeti ya bongo bana,eti LIBOLO lawasiri dar,SIMBA achachawa!
 
Yanga kweli imechoka, goli 4 tu wakati Lyon wameshahuka daraja!
 
Hongereni wanajangwani..
nilijua mtaitupia tano kama mlizotupiwa na simba au mnaziweka kwa ajili ya simba..

Ile ni 5 kasoro 1, si umeona kichogo Hamis Kiiza kadakisha mtu penati...
 
duu hii lazima yangu ishinde maana tukikutana nao wanajua tutawafunga halafu tutalingana..

Kijana unaota mchana? Umesahau hype iliyokuwepo kabla ya Kagame cup final? Au pia tayari ushasahau tayari mmeshakung'utwa kwenye round ya kwanza ya ligi hii hii?

Inapofika kwenye run-in ya kuwania u-championi, Yanga Afrika ni habari nyingine kabisa.
Nyie na mahawara zenu Simba subirini "Yanga mgogoro" tu ndio muifunge 3 au 5, lakini si hii ya machampioni bwana mdogo!
 
Back
Top Bottom