Yanga tuwe makini, kesho tunacheza na tawi la mbumbumbu

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,387
5,233
Sote tunajua uhusiano wa karibu uliopo kati ya Namungo na ile team ya Makolo
Makolo wamepoteza mechi dhidi ya Prison kwahiyo wanategemea kesho watumie tawi lao kurejesha furaha

Mmiliki wa Namungo pia ni mwanachama wa mbumbumbu atatumia cheo na nguvu zote kuhakikisha timu yake inarejesha furaha kwa mashabiki wa Kolozidad

Yanga nawaasa tuwe makini na hiyo game, nadhani ndo mechi pekee ngumu iliyobaki kwenye mbio zetu za ubingwa, viongozi wa Yanga wekeza nguvu na maarifa kwenye hii mechi

Nina imani mbumbumbu kesho watalia tena
Tunaenda Ruangwa kufyeka vichaka vyote alimojificha Mbumbumbu

Utabiri wangu
Namungo 0 Yanga 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia tunawakosa pacome,aucho na diarra
 
Sasa Yanga wajichanganye na hiyo rotation yao kama walivyojichanganya kwa Ihefu. Hii mechi Yanga inacheza na team tatu Namungo,Azam na Simba. Sasa mjichanganye mtatafuta cha kuwabebea wananchi. Kesho ni mechi muhimu ya kuwakatisha tamaa wanaotukimbiza panga full mkoko mpaka Namunguo ajinyee iwanjani
 
Watu Makini tuna tahadhari
Mbumbumbu ndo mnaingia kichwa kichwa mnapigwa 5
Mnapigwa na Prison

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kubali tu kwamba ni mpumbavu na mjinga na zaidi huna maisha na zaidi ni maskini,.hakuna mtu mwenye pesa anaweza kua na Muda wa kuandika ujinga masaa 24,, au kuanzisha nyuzi za kuikejeli klabu kubwa Kama ya Simba.
 
Pesa ninayo njoo nikuoe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom