Mpira wa Tanzania na chuki dhidi ya Yanga

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
MPIRA WA TANZANIA NA CHUKI DHIDI YA YANGA

Young Africans Sports Club, maarufu kama Yanga, ndio timu pekee Tanzania na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki iliyobaki kwenye michuano ya vilabu Afrika. Licha ya kutokuwa na pesa, kama zilivyo klabu zingine zinazoitwa "tajiri" (mi naziita klabu zinazotumia pesa lukuki bila mpangilio ili kutafuta mafanikio ya soka), Young Africans kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikifanya kila njia kuboresha timu yao uwanjani ili kutoa upinzani wa kweli kwa vilabu vikubwa Afrika.

Wala haiitaji kuwa mtaalamu wa soka aliyebobea wala kuwa kocha mwenye vyeti vya ngazi ya juu za soka, wala kuwa na PhD kuliona hili, matokeo yake ya uwanjani sambamba na uchezaji wake kwa maana ya kiwango chake, viwango vya wachezaji mmoja mmoja, wajuzi na wataalamu wa soka walioajiriwa, kwa maana ya kocha wake na benchi lake zima la ufundi, vinadhihirisha na kuongea ubora wa klabu hiyo nje na ndani ya uwanja.

Ni ufundi na utaalamu tu wa soka, na sio kingine. Matokeo mazuri mfululizo wanayoyapata ndani ya uwanja, uchezaji mzuri wa kiwango cha juu mno wanaoonesha, ubora wa wachezaji wake unaoimarika siku baada ya siku, bila kusahau ubora wa waalimu wa timu hiyo unaodhihirika siku baada ya siku, vyote kwa pamoja vimekuwa ni MWIBA MCHUNGU SANA kwa watu wanaokesha USIKU NA MCHANA kuifanyia na kusambaza chuki mbaya dhidi ya Yanga.

Tena ni zile chuki za kukerwa na mazuri ya mwenzio. Ni ile roho ya kunguni imewatawala, kiasi kwamba wakilala wakiamka wanawaza leo waandike nini baya kuhusu Yanga. Wameshindwa kabisa kupambana na Yanga kwa mbinu za utaalamu wa mpira, sasa silaha yao pekee iliyobaki ni kusambaza chuki, uongo fitna na majungu kuhusu kila wanachofanya Yanga.

KINACHOSIKITISHA ZAIDI ni kwamba, hizi chuki sasa zinaenezwa na kusambazwa na watangazaji wa televisheni, ambao nao sasa wameacha kufuata weledi wa kazi zao, wameamua kuwa "marefa wa videoni" na "wataalamu wa kanuni za soka" kwa kuangalia replay.

FURAHA yao ni kuona Yanga yenye migogoro, inayocheza soka la ovyo, inayofungwa ovyo ovyo na kila timu, wakitegemea kwamba timu wanazoshabikia zitaonekana bora zaidi, na pia itawafanya wapate cha kuongea wakijifanya wanajua kutoa hoja nzuri za kujenga. Haitoshi, timu zao kwa sasa zina matokeo mabaya mfululizo, na zinaonekana wazi kuachwa mbali mno kiuchezaji na Yanga.

Badala ya kujikita kutatua matatizo yao, yanayokuwa siku baada ya siku, wamejikita kuishambulia Yanga kwa nguvu zote, kama vile Yanga ndio inawafungisha au inawafanya wafanye madudu yao.

Kesho, keshokutwa tunatafakari ushiriki wetu kimataifa, timu ya Taifa, tunaanza kutafuta mchawi, huku tukijisahaulisha kwamba wachezaji hao wa timu ya Taifa wanatoka huku huku kwenye vilabu ambavyo tunavisukia majungu, porojo, fitna na uongo mtupu. Na hata inapotokea waamuzi wanafanya makosa viwanjani, lawama, fitna, majungu na visa vyote vinaangukia kwa Yanga.

Haijaanza jana wala juzi, hizi chokochoko zimeanza siku nyingi sana, na jana mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ni kujua tu kundi kubwa la watu wenye chuki dhidi ya Yanga. Walianza kumshambulia Mwenyekiti Manji, wakijua ndio moja ya msingi mkubwa wa amani na kutulia kwa klabu na wanachama wake. Ndio moja ya nguzo muhimu ya uimara wa timu ndani na nje ya uwanja. Wameshindwa huko, sasa wamekuja viwanjani.

Wanataka kuvuruga saikolojia ya wachezaji, kuwavuruga waamuzi na kuwachochea mashabiki kufanya vurugu viwanjani, kwa kisingizio tu cha kile wanachokiita YANGA INABEBWA!!

Yale matukio ya waamuzi na wachezaji wa Yanga kupigwa mawe jana ilikuwa ni furaha nzito na kubwa sana kwao.

NDIO, NI FURAHA KUBWA KWAO!! Sasa wameshindwa kucheza mpira, wanachochea na kutetea watu wanaofanya vurugu viwanjani. Eti ndio faida ya kubeba timu. Ila matukio kama haya yoote, wakifanyiwa Yanga, wanaziba masikio na macho. Wanasema ndio sehemu ya mchezo.

NAWAKUMBUSHA TU KWAMBA, KAMWE HUWEZI KUWA NA AMANI KWA KUHARIBU AMANI YA MWINGINE. HUWEZI KUPATA MAFANIKIO KWA KUJARIBU KUZIBA AU KUVURUGA NJIA YA MAFANIKIO YA MWINGINE.

Niwakumbushe na kuwatahadhalisha pia WanaYanga wote kwamba, kamwe HAKUNA ADUI YAKO ANAYEWEZA KUKUOMBEA AU KUKUTAKIA au AKAYAPENDA MAZURI YAKO. Haipo popote kwenye maisha.

Hizi kelele wanazopiga za YANGA INABEBWA sio kwamba wanawapenda au wanaipenda sana timu, sio kwamba wanataka kuijenga timu iwe imara zaidi, sio kwamba wana uchungu na timu yenu kama nyie, lengo lao kuu ni moja tu . . . . . MVURUGANE, MSHAMBULIANE, MKOSE TIMU IMARA, MPATE MIGOGORO, NA HATIMAYE MKOSE KABISA RAHA kama ambavyo wao wanavyokosa raha kutokana na timu zao kuwa mbovu.

Wanajua kwamba, bila nguvu za fitna, majungu, porojo porojo na fugisu figisu itakuwa ngumu sana wao kuvunja UFALME WA YANGA KWENYE SOKA LA TANZANIA, maana viwanjani hawawezi tena.

Hawa watu wa majungu na fitna wapo kila sehemu siku hizi, kwenye televisheni na redio vipindi vya michezo, kwenye mitandao ya kijamii, wenyewe wakijivika vilemba vya WACHAMBUZI WA SOKA WASIOEGEMEA UPANDE WOWOTE kumbe mioyoni mwao wana ROHO YA KUNGUNI wakikusudia kuwachota mawazo yenu ili mkubalianae nao na mwisho muichukie timu yenu.

AMKA MWANA YANGA, PAZA SAUTI. USIKUBALI KUANGALIA TIMU YAKO PENDWA INASHAMBULIWA. PAZA SAUTI KUKATAA FITNA ZOTE NA MAJUNGU.
 
Ni MUDA WA KUANZISHA JUKWAA LA MIPASHO HAPA JF.
..
 
Tatizo la yanga ni jezi yao tu kwa upande wangu

Sijakuelewa comrade, ina maana unachukia rangi za njano na kijani? Una allergy na rangi hizi? Au unafananisha na kitu kingine usichokipenda chenye rangi hizi?

All in all kinachotokea kwenye mpira sasa hivi hasa pale Yanga inapocheza ni aibu. Yaani kuna watu hawaitaki na hawaipendi kabisa Yanga, bahati mbaya wamo pia waandishi wa habari. Jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku ya ITV yule mtangazaji hata bila aibu alitangaza kuwa Mpira wa Yanga na Coastal Union umevunjika baada ya mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe kufunga goli kwa mkono. Huu ni utangazaji wa kiwango cha chini kabisa. Kwanza, hivi mpira ulivunjika baada ya kufungwa goli la pili? Halafu pili hivi upo ushahidi gani kama Tambwe alifunga kwa mkono? Kwanini mtangazaji asiseme kuwa goli la Tambwe linadaiwa na Coastal Union kuwa ni la mkono?
 
rufu kama Yanga, ndio timu pekee Tanzania na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki iliyobaki kwenye michuano ya vilabu Afrika. Licha ya kutokuwa na pesa, kama zilivyo klabu zingine zinazoitwa "tajiri" (mi naziita klabu zinazotumia pesa lukuki bila mpangilio ili kutafuta mafanikio ya soka), Young Africans kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikifanya kila njia kuboresha timu yao uwanjani ili kutoa upinzani wa kweli kwa vilabu vikubwa Afrika.

Wala haiitaji kuwa mtaalamu wa soka aliyebobea wala kuwa kocha mwenye vyeti vya ngazi ya juu za soka, wala kuwa na PhD kuliona hili, matokeo yake ya uwanjani sambamba na uchezaji wake kwa maana ya kiwango chake, viwango vya wachezaji mmoja mmoja, wajuzi na wataalamu wa soka walioajiriwa, kwa maana ya kocha wake na benchi lake zima la ufundi, vinadhihirisha na kuongea ubora wa klabu hiyo nje na ndani ya uwanja.

Ni ufundi na utaalamu tu wa soka, na sio kingine. Matokeo mazuri mfululizo wanayoyapata ndani ya uwanja, uchezaji mzuri wa kiwango cha juu mno wanaoonesha, ubora wa wachezaji wake unaoimarika siku baada ya siku, bila kusahau ubora wa waalimu wa timu hiyo unaodhihirika siku baada ya siku, vyote kwa pamoja vimekuwa ni MWIBA MCHUNGU SANA kwa watu wanaokesha USIKU NA MCHANA kuifanyia na kusambaza chuki mbaya dhidi ya Yanga.

Tena ni zile chuki za kukerwa na mazuri ya mwenzio. Ni ile roho ya kunguni imewatawala, kiasi kwamba wakilala wakiamka wanawaza leo waandike nini baya kuhusu Yanga. Wameshindwa kabisa kupambana na Yanga kwa mbinu za utaalamu wa mpira, sasa silaha yao pekee iliyobaki ni kusambaza chuki, uongo fitna na majungu kuhusu kila wanachofanya Yanga.

KINACHOSIKITISHA ZAIDI ni kwamba, hizi chuki sasa zinaenezwa na kusambazwa na watangazaji wa televisheni, ambao nao sasa wameacha kufuata weledi wa kazi zao, wameamua kuwa "marefa wa videoni" na "wataalamu wa kanuni za soka" kwa kuangalia replay.

FURAHA yao ni kuona Yanga yenye migogoro, inayocheza soka la ovyo, inayofungwa ovyo ovyo na kila timu, wakitegemea kwamba timu wanazoshabikia zitaonekana bora zaidi, na pia itawafanya wapate cha kuongea wakijifanya wanajua kutoa hoja nzuri za kujenga. Haitoshi, timu zao kwa sasa zina matokeo mabaya mfululizo, na zinaonekana wazi kuachwa mbali mno kiuchezaji na Yanga.

Badala ya kujikita kutatua matatizo yao, yanayokuwa siku baada ya siku, wamejikita kuishambulia Yanga kwa nguvu zote, kama vile Yanga ndio inawafungisha au inawafanya wafanye madudu yao.

Kesho, keshokutwa tunatafakari ushiriki wetu kimataifa, timu ya Taifa, tunaanza kutafuta mchawi, huku tukijisahaulisha kwamba wachezaji hao wa timu ya Taifa wanatoka huku huku kwenye vilabu ambavyo tunavisukia majungu, porojo, fitna na uongo mtupu. Na hata inapotokea waamuzi wanafanya makosa viwanjani, lawama, fitna, majungu na visa vyote vinaangukia kwa Yanga.

Haijaanza jana wala juzi, hizi chokochoko zimeanza siku nyingi sana, na jana mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ni kujua tu kundi kubwa la watu wenye chuki dhidi ya Yanga. Walianza kumshambulia Mwenyekiti Manji, wakijua ndio moja ya msingi mkubwa wa amani na kutulia kwa klabu na wanachama wake. Ndio moja ya nguzo muhimu ya uimara wa timu ndani na nje ya uwanja. Wameshindwa huko, sasa wamekuja viwanjani.

Wanataka kuvuruga saikolojia ya wachezaji, kuwavuruga waamuzi na kuwachochea mashabiki kufanya vurugu viwanjani, kwa kisingizio tu cha kile wanachokiita YANGA INABEBWA!!

Yale matukio ya waamuzi na wachezaji wa Yanga kupigwa mawe jana ilikuwa ni furaha nzito na kubwa sana kwao.

NDIO, NI FURAHA KUBWA KWAO!! Sasa wameshindwa kucheza mpira, wanachochea na kutetea watu wanaofanya vurugu viwanjani. Eti ndio faida ya kubeba timu. Ila matukio kama haya yoote, wakifanyiwa Yanga, wanaziba masikio na macho. Wanasema ndio sehemu ya mchezo.

NAWAKUMBUSHA TU KWAMBA, KAMWE HUWEZI KUWA NA AMANI KWA KUHARIBU AMANI YA MWINGINE. HUWEZI KUPATA MAFANIKIO KWA KUJARIBU KUZIBA AU KUVURUGA NJIA YA MAFANIKIO YA MWINGINE.

Niwakumbushe na kuwatahadhalisha pia WanaYanga wote kwamba, kamwe HAKUNA ADUI YAKO ANAYEWEZA KUKUOMBEA AU KUKUTAKIA au AKAYAPENDA MAZURI YAKO. Haipo popote kwenye maisha.

Hizi kelele wanazopiga za YANGA INABEBWA sio kwamba wanawapenda au wanaipenda sana timu, sio kwamba wanataka kuijenga timu iwe imara zaidi, sio kwamba wana uchungu na timu yenu kama nyie, lengo lao kuu ni moja tu . . . . . MVURUGANE, MSHAMBULIANE, MKOSE TIMU IMARA, MPATE MIGOGORO, NA HATIMAYE MKOSE KABISA RAHA kama ambavyo wao wanavyokosa raha kutokana na timu zao kuwa mbovu.

Wanajua kwamba, bila nguvu za fitna, majungu, porojo porojo na fugisu figisu itakuwa ngumu sana wao kuvunja UFALME WA YANGA KWENYE SOKA LA TANZANIA, maana viwanjani hawawezi tena.

Hawa watu wa majungu na fitna wapo kila sehemu siku hizi, kwenye televisheni na redio vipindi vya michezo, kwenye mitandao ya kijamii, wenyewe wakijivika vilemba vya WACHAMBUZI WA SOKA WASIOEGEMEA UPANDE WOWOTE kumbe mioyoni mwao wana ROHO YA KUNGUNI wakikusudia kuwachota mawazo yenu ili mkubalianae nao na mwisho muichukie timu yenu.

AMKA MWANA YANGA, PAZA SAUTI. USIKUBALI KUANGALIA TIMU YAKO PENDWA INASHAMBULIWA. PAZA SAUTI KUKATAA FITNA ZOTE NA MAJUNGU.[/QUOTE]
 
Yanga ni timu kubwa,ni CCM,na no yakimataifa nyie wenye wivu mkameze sumu,isipokuwavmechi ya Jana ni aibu alichemsha hasa lile Goli la kwanza ubingwa ni wetu FA na ligi kuu,penye ukweli tuwe tunasema na SIMBA kubalini ukweli..
 
MPIRA WA TANZANIA NA CHUKI DHIDI YA YANGA

Young Africans Sports Club, maarufu kama Yanga, ndio timu pekee Tanzania na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki iliyobaki kwenye michuano ya vilabu Afrika. Licha ya kutokuwa na pesa, kama zilivyo klabu zingine zinazoitwa "tajiri" (mi naziita klabu zinazotumia pesa lukuki bila mpangilio ili kutafuta mafanikio ya soka), Young Africans kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikifanya kila njia kuboresha timu yao uwanjani ili kutoa upinzani wa kweli kwa vilabu vikubwa Afrika.

Wala haiitaji kuwa mtaalamu wa soka aliyebobea wala kuwa kocha mwenye vyeti vya ngazi ya juu za soka, wala kuwa na PhD kuliona hili, matokeo yake ya uwanjani sambamba na uchezaji wake kwa maana ya kiwango chake, viwango vya wachezaji mmoja mmoja, wajuzi na wataalamu wa soka walioajiriwa, kwa maana ya kocha wake na benchi lake zima la ufundi, vinadhihirisha na kuongea ubora wa klabu hiyo nje na ndani ya uwanja.

Ni ufundi na utaalamu tu wa soka, na sio kingine. Matokeo mazuri mfululizo wanayoyapata ndani ya uwanja, uchezaji mzuri wa kiwango cha juu mno wanaoonesha, ubora wa wachezaji wake unaoimarika siku baada ya siku, bila kusahau ubora wa waalimu wa timu hiyo unaodhihirika siku baada ya siku, vyote kwa pamoja vimekuwa ni MWIBA MCHUNGU SANA kwa watu wanaokesha USIKU NA MCHANA kuifanyia na kusambaza chuki mbaya dhidi ya Yanga.

Tena ni zile chuki za kukerwa na mazuri ya mwenzio. Ni ile roho ya kunguni imewatawala, kiasi kwamba wakilala wakiamka wanawaza leo waandike nini baya kuhusu Yanga. Wameshindwa kabisa kupambana na Yanga kwa mbinu za utaalamu wa mpira, sasa silaha yao pekee iliyobaki ni kusambaza chuki, uongo fitna na majungu kuhusu kila wanachofanya Yanga.

KINACHOSIKITISHA ZAIDI ni kwamba, hizi chuki sasa zinaenezwa na kusambazwa na watangazaji wa televisheni, ambao nao sasa wameacha kufuata weledi wa kazi zao, wameamua kuwa "marefa wa videoni" na "wataalamu wa kanuni za soka" kwa kuangalia replay.

FURAHA yao ni kuona Yanga yenye migogoro, inayocheza soka la ovyo, inayofungwa ovyo ovyo na kila timu, wakitegemea kwamba timu wanazoshabikia zitaonekana bora zaidi, na pia itawafanya wapate cha kuongea wakijifanya wanajua kutoa hoja nzuri za kujenga. Haitoshi, timu zao kwa sasa zina matokeo mabaya mfululizo, na zinaonekana wazi kuachwa mbali mno kiuchezaji na Yanga.

Badala ya kujikita kutatua matatizo yao, yanayokuwa siku baada ya siku, wamejikita kuishambulia Yanga kwa nguvu zote, kama vile Yanga ndio inawafungisha au inawafanya wafanye madudu yao.

Kesho, keshokutwa tunatafakari ushiriki wetu kimataifa, timu ya Taifa, tunaanza kutafuta mchawi, huku tukijisahaulisha kwamba wachezaji hao wa timu ya Taifa wanatoka huku huku kwenye vilabu ambavyo tunavisukia majungu, porojo, fitna na uongo mtupu. Na hata inapotokea waamuzi wanafanya makosa viwanjani, lawama, fitna, majungu na visa vyote vinaangukia kwa Yanga.

Haijaanza jana wala juzi, hizi chokochoko zimeanza siku nyingi sana, na jana mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ni kujua tu kundi kubwa la watu wenye chuki dhidi ya Yanga. Walianza kumshambulia Mwenyekiti Manji, wakijua ndio moja ya msingi mkubwa wa amani na kutulia kwa klabu na wanachama wake. Ndio moja ya nguzo muhimu ya uimara wa timu ndani na nje ya uwanja. Wameshindwa huko, sasa wamekuja viwanjani.

Wanataka kuvuruga saikolojia ya wachezaji, kuwavuruga waamuzi na kuwachochea mashabiki kufanya vurugu viwanjani, kwa kisingizio tu cha kile wanachokiita YANGA INABEBWA!!

Yale matukio ya waamuzi na wachezaji wa Yanga kupigwa mawe jana ilikuwa ni furaha nzito na kubwa sana kwao.

NDIO, NI FURAHA KUBWA KWAO!! Sasa wameshindwa kucheza mpira, wanachochea na kutetea watu wanaofanya vurugu viwanjani. Eti ndio faida ya kubeba timu. Ila matukio kama haya yoote, wakifanyiwa Yanga, wanaziba masikio na macho. Wanasema ndio sehemu ya mchezo.

NAWAKUMBUSHA TU KWAMBA, KAMWE HUWEZI KUWA NA AMANI KWA KUHARIBU AMANI YA MWINGINE. HUWEZI KUPATA MAFANIKIO KWA KUJARIBU KUZIBA AU KUVURUGA NJIA YA MAFANIKIO YA MWINGINE.

Niwakumbushe na kuwatahadhalisha pia WanaYanga wote kwamba, kamwe HAKUNA ADUI YAKO ANAYEWEZA KUKUOMBEA AU KUKUTAKIA au AKAYAPENDA MAZURI YAKO. Haipo popote kwenye maisha.

Hizi kelele wanazopiga za YANGA INABEBWA sio kwamba wanawapenda au wanaipenda sana timu, sio kwamba wanataka kuijenga timu iwe imara zaidi, sio kwamba wana uchungu na timu yenu kama nyie, lengo lao kuu ni moja tu . . . . . MVURUGANE, MSHAMBULIANE, MKOSE TIMU IMARA, MPATE MIGOGORO, NA HATIMAYE MKOSE KABISA RAHA kama ambavyo wao wanavyokosa raha kutokana na timu zao kuwa mbovu.

Wanajua kwamba, bila nguvu za fitna, majungu, porojo porojo na fugisu figisu itakuwa ngumu sana wao kuvunja UFALME WA YANGA KWENYE SOKA LA TANZANIA, maana viwanjani hawawezi tena.

Hawa watu wa majungu na fitna wapo kila sehemu siku hizi, kwenye televisheni na redio vipindi vya michezo, kwenye mitandao ya kijamii, wenyewe wakijivika vilemba vya WACHAMBUZI WA SOKA WASIOEGEMEA UPANDE WOWOTE kumbe mioyoni mwao wana ROHO YA KUNGUNI wakikusudia kuwachota mawazo yenu ili mkubalianae nao na mwisho muichukie timu yenu.

AMKA MWANA YANGA, PAZA SAUTI. USIKUBALI KUANGALIA TIMU YAKO PENDWA INASHAMBULIWA. PAZA SAUTI KUKATAA FITNA ZOTE NA MAJUNGU.
 
Yanga na Simba wakifikia kumiliki kiwanja hata kama cha Karume pale Ilala ndio nitazielewa.
Vitu vinavyoboa hapa nchini ni rangi za kijani na njano pamoja na ile ya damu.
 
Viwanja ndio vinafunga magoli na kuleta ushindi?
 
Back
Top Bottom