Yanga sc Vs Ruvu shootings

Yanga sc Vs Ruvu shootings

Dk 31

Kiiza anakosa tena goli hapa....akiwa kabaki yeye na Ben Haule
 
Wazee wa uamsho leo hawpo sana hapa,sijui wanapanga mapinduzi hapo kesho!
 
Dk 35 Kipindi cha pili

Yanga wanafanya mabadiliko.
Nizar Khalfan anatoka, anaingia Didier Kavumbagu.
Nizar alikuwa kaumia hapo kabla...
 
Nimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeni

Wewe kunya tu, tunasubiri kipienga cha mwisho, matokeo ndiyo hayo, vingenevyo watapigwa jingine. Suala la kunya juu ya huwezi kulikwepa.
 
Naona hapa uwanjani mashabiki wanakaanga chips....
Yanga wanashindwa kutumia nafasi nyingine kuwainua vitini.
 
Naona hapa uwanjani mashabiki wanakaanga chips....
Yanga wanashindwa kutumia nafasi nyingine kuwainua vitini.
Ndipo uwezo wao ulipo ishia hapooo! Ngoja wajeda wawa jedueni
 
Hawa Ruvu naona wanataka kuharibu sherehe dakika za lala salama hizi.

Cannavaro yupo chini anagalauka baada ya kubabuliwa mpira wa kwenye kile kiungo kilicho mnanilihuu Simba SC
 
bado dk ngapi maana mnashangilia sana kwani ngapi ngapi..
 
Hawa Ruvu naona wanataka kuharibu sherehe dakika za lala salama hizi.

Cannavaro yupo chini anagalauka baada ya kubabuliwa mpira wa kwenye kile kiungo kilicho mnanilihuu Simba SC

mmmhhhhhh.....
 
Back
Top Bottom