hivi Cynic uwezo huanzia kufunga magoli mangapi?
hivi uwezo wa yanga ni kufunga goli moja tu? kila mechi ...
Tutakutana tena wiki ijayo.
Taifa Stars vs Morocco.
Kwaherini!!!
Yanga noma.
YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeee!
manunuzi@magoliyababu.com
hivi Cynic uwezo huanzia kufunga magoli mangapi?
Tunahitaji point 3 kwa kila mechi, hizo point huja kuanzia goli moja. Yanga inakamiwa sana na kila timu, hata mechi zake ni za ushindani wa hali ya juu na mashabiki hupata burudani safi! Mbona teja la LIBOLO linapata taabu kujipatia point 3 kila mechi? Tafakari.
Hata LIBOLO liligonga kimoja Dar, wiki 2 baadaye liligonga vinne kwa Dear wake, hapo vipi, una comment yoyote zaidi juu ya uwezo wa Yanga kupata goli 1 kila mechi?
Wanakamiwa sana, kama Simba walivyo ikamia LIBOLO lasivyo wangepanua uwanja walikuwa wanakula nyingi.
Ndio maana tunataka tubadili jina tupo kwenye mchakato kupitisha jina ka kibolo
hivi uwezo wa yanga ni kufunga goli moja tu? kila mechi ...
Hivi kwa point ubingwa si tayari?
Hongereni lakini.
Bado point 5 kama sikosei...kabla ya leo zilikua zahitajika point 8
Muhimu pointi 3, magoli mbwembwe tu...
hivi uwezo wa yanga ni kufunga goli moja tu? kila mechi ...
Dak. 23 bao ni 0-0. Ruvu Shooting wako ngangari, wanashambulia sana! Swali ni wataweza kulisimamisha treni lililokata breki?