Yanga sc Vs Ruvu shootings

Yanga sc Vs Ruvu shootings

Mpira umeanza...

Kona wanapata Yanga....Ben Haule wa Ruvu anakamata.
 
Kabla kinyesi hakijatoka tutamia ile dawa ya libolo fc kuyarudisha

Ha ha ha ha haaaaaah yaani ikifika tu hapo simba kimya, sasa mkuu princetx hiyo dawa wanaimeza au kuna njia nyingine ya kutumia?
 
Last edited by a moderator:
Frank Domayo yupo chini kapata majeraha...anatolewa nje kutibiwa
 
Ha ha ha ha haaaaaah yaani ikifika tu hapo simba kimya, sasa mkuu princetx hiyo dawa wanaimeza au kuna njia nyingine ya kutumia?

Si ya kumeza ni kama zile wanazotumia watoto kushushia homa unaisukumiza kunako
 
Last edited by a moderator:
Kiiza anafanya madudu hapa....anakosa goli
 
Mkuu Kitoabu kula ushibe,andaa na meza kuuubwa ndogo yatamwagika chini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom