hapa si bure huenda simba na azamu wako ruvu!!
Mungu saidia Ruvu wasifanye upuuzi wa raundi ya kwanza.
Mkuu Matatizo Makubwa zinapokuwa zinacheza timu mbili inabidi uchague moja ya kuishabikia, leo nimechagua Ruvu, Ruvu kazeni acheni kujilegeza nyie ni wanajeshi.Mkuu Masuke huna mapenzi na Ruvu isipokuwa unawashabikia washinde ili Simba angalau wapumue. Dakika 45 hiyo bado 0-0.
ha ha ha ha!na hivi halina break linaweza kuwa limewaangukia ruvu!Nini kinaendelea au treni limeanguka?
Matangazo.
Ukitaka kuiangmiza Simba basi tumia Libolo FC.
Matangazo.
Ukitaka kuiangamiza Simba basi tumia Libolo FC.