Nimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeniKunya sasa, mambo yameanza. Yanga 1-0 Ruvu Shooting.
Kwakua munaongoza chukueni kojo kwanzaHahaha...anza kuvua basi maana Ruvu washaanza kuelekea kibrah.
Naona goli la kuongoza limekuchanganya mpaka kiswahili kimegoma.
Duh....yanga wanazidi kujiweka kileleni.
Lapili awape nani? Ngoja kupiga kwata.la pili bado tuu?
Dak. 23 bao ni 0-0. Ruvu Shooting wako ngangari, wanashambulia sana! Swali ni wataweza kulisimamisha treni lililokata breki?
unajua kwann lage amepasuliwa mgongo? chezea libolo wwNimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeni