Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,298
Asante sana mkuu na endelea kutujuza mpaka mwisho wa ili game.
pamoja...
Dk 45 + 3
Mpira umekwishaaaa
Yanga 1 - 0 Ruvu
Asante sana mkuu na endelea kutujuza mpaka mwisho wa ili game.
Nimesema mkishinda, hapo munaongoza, au hujui maana ya kushinda? Kwakua munaongoza ngoja niwakojoleeni
mbona watoa mguno...
Ruvu wanapata kona...wanakosa
pamoja...
Dk 45 + 3
Mpira umekwishaaaa
Yanga 1 - 0 Ruvu
hilo lininiliu ndio limechosha sijui my friend Saint Ivuga yupo..
Ni hatari maana litaenda kuanguka na kuua abiria wote, na lenyewe kuharibika sana.
naona rage amekuambukizeni ugonjwa wa SIASANime ghairi siwezi kutekeleza ile hazma niliyo iweka kwakua mumenunua mechi, nyampaf
Haliwezi kuanguka isipokuwa litagonga chochote kitakachojipendekeza hadi lifike mwisho wa reli.
Full time 1-0
hivi uwezo wa yanga ni kufunga goli moja tu? kila mechi ...
hivi uwezo wa yanga ni kufunga goli moja tu? kila mechi ...