Ukweli ni kwamba Simba Sc wanatamani tusicheze ili wajichukulie kombe kwa ushindi wa mezani. Tukiendelea kukataa kwenda uwanjani hawa jamaa watapewa ushindi wa mezani. Hatutashushwa daraja wala kuporwa points (busara itatumika) lakini Simba atapewa point tatu na hivyo kuwafanya wawe mabingwa.
Sasa kuwakomoa twendeni tukakipige nao maana sisi hata sare inatutosha. Lengo wakose vikombe vyote (washakosa cha CAF) na wasipate sehem ya kujifariji.
Berkane washafungua code za kuwafunga hawa wahuni (Pressing ). Hata Singida Black Stars walijaribu na tumeona walivyopata tabu kwenye kupata ushindi ikafikia wakati mpaka kipa wa Simba anapoteza muda.
Sisi twende na ile format kama tuloyoitumia kwa Azam tunawakanda mapema tu hawa hawana timu. Lakini pia wale refarii watano hawatakiwi kuchezesha hii mechi.
Venue iwe New Amaan, ikishidikana twende Chamazi , ikishindikana KMC Complex. Kwa Mkapa tusiende wanaroga sana hawa watu.
Ushauri wangu twende tukakipige nao ili wababki na msemo tu mbona mmecheza. Ila tusiwape nafasi wapate kombe lolote msimu huu ni wahuni na wanastahili kupelekwa kihuni. Wao wapo tayari hata leo itangazwe Simba Bingwa na watafurahia. Sasa tusiwape hiyo nafasi.
Mwanzoni mwa ligi tunaweza kuweka msimamo kuwa hatutashiriki ligi inayoanza mpaka Bodi ya Ligi ifumuliwe tuanze upya. Hapo hata wakitushsuha Daraja ni sawa tu maana tutakuwa na mashindano ambayo tuna sifa zote za kushiriki na kuwaachia ligi yao.
TWENDENI TUKACHEZE NAO.