Yanga SC na wana Yanga Tanzania si mnajifanya mnajua Fujo na Ubabe, sasa Kisasi chawasubiri huko Kwao Rivers United FC Nigeria

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,911
“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu.
.
“Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni lini wanatarajia kuwasili nchini (Nigeria) lakini tumejipanga kuwapokea kama walivyotupokea.

- Afisa habari wa Rivers United, Charles Mayuku.

Chanzo: sportsarena_tz

Ushauri pekee ambao Poisonous kwa nia njema tu nautoa kwa Yanga SC ni kuwaomba wahairishe tu Kusafiri kwenda huko nchini Nigeria kwa Mchezo wa Marudiano.

Kwa Taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanaijeria waishio hapa Tanzania na kile walichoambiwa na Wanaijeria walioko huko Kwao ni kwamba Wachezaji na Viongozi wa Yanga SC wanaenda kufanyiwa Fujo ambayo hawajawahi kukutana nayo tokea wazaliwe kama sehemu yao ya Kulipiza Kisasi kwa walichofanyiwa kwa Mkapa.

Wana Yanga SC mlishaonywa mno kuachana na tabia yenu ya kupenda Fujo na Ubabe mliozoea Kuufanya ndani ya Tanzania ila hamkusikia sasa Mashabiki wa Rivers United FC na Wanaijeria mtakaokutana nao huko Kwako Port Harcourt wataenda kuwafundisheni Adabu na mtakachokipata huko kitakuwa ni Fundisho Kwenu.

Yaani Uwanjani wanaenda Kuwafunga Goli nyingi na kuishia katika hatua ya Awali ya CAF CL lakini pia mnaenda Kupigwa, Kuumizwa na kufanyiwa Fujo ya maana mpaka muwaamkie Shikamoo na mje msimuliane vizuri pale Madimbwini Kwenu Kaunda au kule Baharini Avic Town.

Na mlivyo Majuha badala ya Siku ile ile ya Tukio la Makomandoo wenu Kumpiga na Rungu Kichwani na Kumpasua na Kumchania Nguo Daktari wao Kukiri Kosa hilo na Kiungwana Kuomba ( Kuwaomba ) Radhi nyie mpaka leo mmeuchuna tu hali ambayo inaonyesha kuwa Tukio lile lilikuwa na Baraka yenu Uongozi wa Yanga SC na GSM Wenu hivyo subirini Kisasi hicho mnapoenda Kwao.

Na wanayemtamani mno ni Haji Manara.
 
Umesahau kipindi kile utopolo wanaitangazia dunia simba, inatumia mbinu chafu kushinda kwa mkapa.

Wao ndio walitangaza lakini hatukuwahi kusikia wageni wakilalamika. Lakini mara hii Rivers wamelalamika live.

Pamoja na mbinu chafu plus refa kuwa wao bado wamechapwa. Huko kwa Wapopo bora wasiende.
 
Ujio wa Haji na ile show ya Mama J imeleta nuksi itakayoiandama Utopolo miaka mingi ijayo
FB_IMG_1631647099990.jpg
FB_IMG_1631092687627.jpg
 
Back
Top Bottom