MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC.
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC walipeleka Viongozi wao wa Matawi ili wakaunganishe Nguvu na Waganga walioko Mkoani Kigoma.
Hakuna asiyejua kuwa zaidi ya mara Mbili Watu wa Yanga SC kwa Ushirikiano wao kutoka kwa Watu wa Matawi na kwa Waganga wa Kienyeji walihangaika mno kutaka Kuchota Nyasi na Udongo wa Uwanja wa Lake Tanganyika ili wafanikishe Ushindi wao leo katika Fainali ya ASFC ambayo imefungwa na Simba SC.
Hakuna asiyejua kuwa Jana Siku ya Jumamosi Makomandoo wa Yanga SC walifanya mno Fujo katka Uwanja wa Lake Tanganyika huku wakati Timu yao ikifanya Pitch Familiarization Session wao wakawa Wanaroga kwa Kumwaga Vitu vya Kishirikina Uwanjani hapo.
Funga Kazi ilikuwa ni leo wakati Timu ( Yanga SC ) ikiwa inaingia Uwanjani walikwepa kwa mara nyingine tena kupitia Geti Kuu walilopangiwa na Kupita Kwingineko huku body language ya Wachezaji wa Yanga SC ikionyesha walikuwa wameshaogopa huku Hofu juu yao ikionekana hali iliyoipa Urais Simba SC kuwa na uhakika wa Kushinda na Kujiandaa zaidi Kisaikolojia kuliko wao.
Hata hivyo Krav Maga kwa Kusema yote haya simaanishi kuwa Simba SC nao hawarogi isipokuwa Simba SC inaroga Kisayansi na Kisaikolojia zaidi huku ikiwekeza muda mwingi Kukisuka Kikosi Kisayansi na Kiufundi kwani kuna muda Uchawi unataka unaendana na Jutihada.
Yanga SC acheni Kutumia Nguvu kubwa katika Kuiroga Simba SC kila mnapokutana nayo bali Wekezeni muda wenu mwingi katika Kukiandaa zaidi Kikosi chenu nacho basi kiweze kubahatisha hata Kubeba Kombe la Kimashindano kwa Msimu huu achilia mbali kile wanachojivunua wao cha 'Deiwaka hi hi he understands
.