Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
Tunalipa Kisasi Leo, Hawa Mbeya Siye Walimbaka Na Kumtoa Bikra Demu Wetu Wakati Sisi Tulikuwa Na Malengo Nae, Watatueleza Leo Kwnn [emoji34]
Sawa koloYanga Chama la wana endapo likishinda, limi droo au kufungwa ni chama la lawama
Simba anacheza Leo ?Leo wananchi mtajua hamjui. "Simba gufu moya"
Kwa leo tumehamia mbeya city kwa muda. Simba gufu moyaSimba anacheza Leo ?