Yanga ni sawa na chuo kikuu Mzumbe

kambale mnene

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
271
197
Zamani kiliitwa chuo cha uongozi.
Kulipotokea mapungufu yoyote,ukiukwaji wa haki za wanafunzi kulikuwa hakuna migomo au maandamano ktk chuo hicho.
Tofauti na vyuo vikuu vingine.

Wanafunzi watulivu,wenye akili nyingi,busara,hekima na maarifa vimetawala.
Hawakurupuki,wasikivu,wanajiheshimu sana nk.

WENYE AKILI WATANIELEWA.
Linganisha yanga na simba
Viongozi
Wanachama
Washabiki.
Utaona tofauti kubwa,simba hawana sifa nilizozitaja hapo juu ambazo zinapatikana chuo kikuu mzumbe.

SIMBA KELELE NYINGI SANA,MANENO,KEJERI,MAJIGAMBO,MATUSI NDIYO TABIA ZAO.
VIONGOZI WAONGO WAONGO,CHUPLICHUPLI NYINGIIII!

WANACHAMA NA WASHABIKI WADAGANYIKA KIRAHISI SANA.

Nahitimisha kusema Yanga ni kubwa kuliko simba.
 
Mzee kaka,kwa nini unafikiri kwa kutumia mabega?Nini mbaya na weye?Hivi mmeongezeka wenye akili huko?Au bado ni walewale wawili?😂😂😂😂
 
Zamani kiliitwa chuo cha uongozi.
Kulipotokea mapungufu yoyote,ukiukwaji wa haki za wanafunzi kulikuwa hakuna migomo au maandamano ktk chuo hicho.
Tofauti na vyuo vikuu vingine.

Wanafunzi watulivu,wenye akili nyingi,busara,hekima na maarifa vimetawala.
Hawakurupuki,wasikivu,wanajiheshimu sana nk.

WENYE AKILI WATANIELEWA.

Linganisha yanga na simba
Viongozi
Wanachama
Washabiki.
Utaona tofauti kubwa,simba hawana sifa nilizozitaja hapo juu ambazo zinapatikana chuo kikuu mzumbe.

SIMBA KELELE NYINGI SANA,MANENO,KEJERI,MAJIGAMBO,MATUSI NDIYO TABIA ZAO.
VIONGOZI WAONGO WAONGO,CHUPLICHUPLI NYINGIIII!

WANACHAMA NA WASHABIKI WADAGANYIKA KIRAHISI SANA.

Nahitimisha kusema Yanga ni kubwa kuliko simba.
Hivi mashabiki wa timu hii si ndio waliua shabiki wa timu nyingine kule Tanga na hao hao mara kadhaa wamekua wakiwashushia kibigo majukwaani mashabiki wa Simba sc
 
Kama yanga ni kama chuo Cha mzumbe ndio maana vyuo vyetu vinatoa wasomi feki wengine Wana PhD za uchumi badala ya kubuni vyanzo vya mapato wanaishia tozo
 
Zamani kiliitwa chuo cha uongozi.
Kulipotokea mapungufu yoyote,ukiukwaji wa haki za wanafunzi kulikuwa hakuna migomo au maandamano ktk chuo hicho.
Tofauti na vyuo vikuu vingine.

Wanafunzi watulivu,wenye akili nyingi,busara,hekima na maarifa vimetawala.
Hawakurupuki,wasikivu,wanajiheshimu sana nk.

WENYE AKILI WATANIELEWA.

Linganisha yanga na simba
Viongozi
Wanachama
Washabiki.
Utaona tofauti kubwa,simba hawana sifa nilizozitaja hapo juu ambazo zinapatikana chuo kikuu mzumbe.

SIMBA KELELE NYINGI SANA,MANENO,KEJERI,MAJIGAMBO,MATUSI NDIYO TABIA ZAO.
VIONGOZI WAONGO WAONGO,CHUPLICHUPLI NYINGIIII!

WANACHAMA NA WASHABIKI WADAGANYIKA KIRAHISI SANA.

Nahitimisha kusema Yanga ni kubwa kuliko simba.
Alishajisemea Manara, itoshe kusema umeandika utopolo mtupu.
 
giphy.gif
 
haya nendeni kwa mama Samia mkapeleke malalamiko yenu.maana mkiwa na malalamiko uwa mnatishia kuyapeleka kwa Rais.
 
Back
Top Bottom